Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
Huyu mzee ana hekima sana! Anafafanua kuhusu uzanzibar na Tanganyika akikumbushia G55 ya 1994. Pia ameeleza kisa cha Steven Wassira kuhamia upinzani enzi zile, amemshangaa Dr. H. Kigwangala kusema uongo bungeni eti Warioba alikuwa tume zakina Nyalali