Mzee Jaji Warioba ndani ya Dk 45 ITV

Mzee Jaji Warioba ndani ya Dk 45 ITV

Bila maridhiano kupata theruthi mbili kwa upande wowote ule kwa Zanzibar itakuw ani ngumu, kama viongozi wetu hawataonyesha njia ya sisi kuwa wamoja kwa hoja moja kupatikana kwa theruthi mbili aidha za kuunga mkono S#3 au S#2 haitawezekana.

Hizo S2 mbona hazimo kwny Rasimu II?
 
Kumbe Wassira ndo alitoa rushwa akafungiwa miaka 5 kushiriiki uchaguzi hivyo jk amemteua waziri mla rushwa na bila shaka na yeye hatakuwa mla rushwa

Wassira ni mla rushwa toka zamani sana Mkuu, Enzi za Budodi akiwa mwenyekiti wa CCM mwanza huyu wasira alikuwa mhudumu wa CCM kule geita! Jamaa aliwahi kuuza Tairi ya Landrover ili akapate fedha za kwenda kutoa rushwa ili achaguliwe kwenye jimbo lake! ...Nashangaa mpaka sasa hakuna aliewahi kumkumbushia hili shuzi lake linalonuka hadi leo
 
Rais mtarajiwa 2015 Dk Hamisi Kigwangala, ndiye kiboko ya Jaji Warioba...anamshinda kwa hoja moja baada ya nyingine. Alimkimbiza siku ya mdahalo wa Twaweza kwa hoja za kisayansi mpaka babu akabaki kulia lia kuwa aachwe alee wajukuu zake sasa. Kigwangala akamuuliza kama anataka aachwe si anyamaze, kwani lazima aseme? yeye si kazi yake iliishamalizika?
 
Akili kidogo
 
Back
Top Bottom