Mzee Jaji Warioba ndani ya Dk 45 ITV

Mzee Jaji Warioba ndani ya Dk 45 ITV

Mwacheni warioba kachoka mwacheni apumzike mnamchosha bure.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    12.5 KB · Views: 176
Video hii ni zaidi ya unavyofikiri! Warioba safari hii anataja majina waziwazi, ameamua kuita beleshi, ni beleshi, siyo kijiko!!!! Hakikisha unaangalia!
 
Warioba na tume yake wametimiza wajibu wao kwa taifa, wajumbe wa bunge maalumu la katiba walipaswa kujifunza kwenye tume ile! Bunge maalumu wakiweka maslahi ya vyama vya siasa mbele badala ya maslahi ya taifa mbele,katiba mpya ni kitendawili!
 
Kazi ya Warioba imekwisha na Kitalu chake cha Tume kimefungwa, huu ni muda wa Bunge la Katiba hana cha kuzuia, kamamvipi ajiunge na UKAWA!

Bila shaka utakua miongoni wa wale wajumbe wateuliwa
wa muheshimiwa raisi.
 
CCM hata mkijichetua vipi ila najua fika kuwa mnamuelewa sana mzee Warioba. Hizo sarakasi mlizozoea punde zitawatokea puani.
 
tupieni video yake humu tupate kumsikia. wengine ITV hazishiki vijijini kwetu!!
 
Kazi ya Warioba imekwisha na Kitalu chake cha Tume kimefungwa, huu ni muda wa Bunge la Katiba hana cha kuzuia, kamamvipi ajiunge na UKAWA!

Nadhani ungempa hongera nyingi sababu anatufundisha siye tuliyeunga shule.Na ningemuomba Judge Warioba azidi kutupa shule ya Katiba.Pole kama hauipendi elimu hii,ila mind you kesho utaihitaji.

Tuachie wananchi haki yetu ya msingi ya kujifunza,hata kama haupendezwi basi tunaopata elimu tunamhsukuru sana.
Kumbuka TANZANIA ni yetu sote si ya wanaCCM au WENYENCHI tu hata sisi WANANCHI tunahaki ya msingi ya kupata KATIBA iliyobora na si bora KATIBA
 
huyo kijana lukyosi hana jipya kitabia maana toka atafune rambirambi za mwangosi ni kama ana kalaana kazito kweli!

Mkuu umekumbusha huyu, laana ya kula rambirambi za marehemu Mwangosi itamtafuna hadi mwisho wa maisha yake.
 
Mwenye recorded video ya mzee wetu atuwekee ambao tulikosa kumsikiliza jana
 
Back
Top Bottom