Mzee Faraj Katalambula Amefariki Dunia

Asante Mpwa kwa taarifa sahihi, ni kweli nimekumbuka hata setting yake ilikua ni ya huko...apumzike kwa amani
Hapana SIRI YA SIFURI mwandishi alikuwa Mzanzibari jina limenitoka (sio Shafi).......character alikuwa INSPECTOR NAJUUM
 
Allah amsamehe na amhurumie na amweke mahali pema peponi.

Ins. Fambo is no more. But he shall remain in our hearts forever.
 
RIP- KATALAMBULA!
Maandishi uliyoyaandika yatakufanya uishi daima. Nakumbuka SIMU YA KIFO. Poleni familia ya marehemu.
 
Sad news
tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi
Mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi
Amen
 
Pumzika kwa Amani ya Bwana wetu Yesu Kirsto na atakufufua siku ya mwisha!

Rest In Peace Mr Katalambula!
 
Nilipokuwa mdogo nasoma Simu ya Kifo ilikuwa ni vigumu sana kuniaminisha kuwa ile ilkuwa ni hadithi ya kutunga. Riwaya zake zilileta mvuto wa uasilia.
RIP Faraj.
 
Poleni wote jamani alini~Insipire saaaana jamani PUMZIKA KWA AMANI Faraj Katalambula...

Hivi Kezilahabi aliyetunga ROSA MISTIKA...yu wapi? Nakumbuka kipande cha Hadithi yake " Tulikuwa tukisikiliza NEGRO SUCESS NA MATONDO YA BEYA"

Kezilahabi, Mkerewe yuko Botswana sasa. Alipigwa ban na Kanisa Katolic kuhusu kitabu hicho cha Rosa Mistika. Nakumbuka sana kitabu chake cha 'Dunia uwanja wa fujo.
 
Poleni sana wafiwa, wana Tabora, pamoja na watanzania wenzangu walio ktk tasnia ya uandishi wa vitabu na riwaya!

Nakumbuka sana kitabu cha Faraji H. Katalambula: "Simu ya Kifo" pia Filamu ya "simu ya kifo" iliyotokana na Kitabu husika.
Ktk filamu hiyo Mzee Kipara alicheza kama Inspecta Wingo.

RIP Faraji H. Katalambula

daaah kweli umenikumbusha hiyo riwaya, simu ya kifo, ama kwelim alikua mahiri , RIP KATALAMBULA
 
Niliposoma jina likawa si geni masikioni, lakini nilipokumbuka simu ya kifo ndipo nikamkumbuka kabisa.Sijui kizazi chetu kama kinawafahamu hawa waandishi magwiji. RIP KATAMBULA
 
Poleni wote jamani alini~Insipire saaaana jamani PUMZIKA KWA AMANI Faraj Katalambula...

Hivi Kezilahabi aliyetunga ROSA MISTIKA...yu wapi? Nakumbuka kipande cha Hadithi yake " Tulikuwa tukisikiliza NEGRO SUCESS NA MATONDO YA BEYA"

Tusker Bariiiidi uko wapi mkuu. Kimya sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom