meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
- Thread starter
- #61
mzee Mtei anaweza kutimiza ndoto yake sasa
Wakati anamuomba wewe ulikua wapi? Kwenye kabati, kwenye stuli, kwenye sahani iliobeba chai, au ndani ya chupa ya chai?Hii nimeisikia leo kwenye vichwa vya habari vya magazeti.
Mzee Mtei aliwahi kumuomba Nyerere (baba wa taifa) kujiunga na CHADEMA. Nyerere aliduwaa na kuomba kikombe cha chai!
Shahidi ni Mama Maria Nyerere.
Kila jambo na wakati wake jamani!Kuna watu usishangae meningitis wamezuka watu wansema Nyerere ni kawaida!
Magufuli anapita nchi nzima akisema Kikwete ndo kafanya historia, waliomtangulia akiwemo Nyerere hawajafanya kitu.
Siku moja nilikutana na mawaziri wawili wa Kikwete wanatamba hivyohivyo kuwa wamefanya maajabu kuliko Nyerere, hiyo ndo nchi yetu!
HahahahaWakati anamuomba wewe ulikua wapi? Kwenye kabati, kwenye stuli, kwenye sahani iliobeba chai, au ndani ya chupa ya chai?
Sasa hivi anadai ni yeye ndio kaleta maendeleoKuna watu usishangae meningitis wamezuka watu wansema Nyerere ni kawaida!
Magufuli anapita nchi nzima akisema Kikwete ndo kafanya historia, waliomtangulia akiwemo Nyerere hawajafanya kitu.
Siku moja nilikutana na mawaziri wawili wa Kikwete wanatamba hivyohivyo kuwa wamefanya maajabu kuliko Nyerere, hiyo ndo nchi yetu!
Mwalimu Nyerere is not a person who could be displaced so easily....at least by now we all knowSo what?