Mzee Edwin Mtei alimuomba Nyerere kujiunga na CHADEMA

Mzee Edwin Mtei alimuomba Nyerere kujiunga na CHADEMA

Mwacheni Mtei amalizie ya moyoni mwake.
 
Nyerere alifanya nini zaidi ya kuiwacha nchi maskini wa mwisho duniani?

Kama hakufanya kitu mbona mnatumia jina lake kukampeni ili mpate uongozi? Kikwete hajafanya kitu bali yanayoonekana ni plans zilizowekwa na Mkapa
 
Wewe umefanya nini hadi ujilinganishe na Nyerere? JK sote ni mashuhuda kafanya mambo wengi, wewe hata kupeleka kipamde cha sabuni nyumbani tabu.
ndio maana nimekiri kuwa siwezi kujilinganisha na mwalimu.
 
Hiv nyie watu mnafikili kwa kutumia nini? Maana hamueleweki,hapo tatizo nini?
Na hoja ni nini hasa ? Siasa c uadui,wachache wanafanya kuwa ni uadui,mmepotoka, siasa ni tofauti ya kimtazamo baina ya mtu na mtu,mtu na chama au chama na chama juu ya namna bora ya kuendesha nchi kwa mafanikio. KIMYAAA.
 
Magufuli ni mtu wa kujipendekeza. Nakumbuka wakati ule wote (Yeye na Kikwete) wakiwa mawaziri kwenye serikali ya Mkapa, na Kikwete akiwa tayari ameteuliwa kugombea urais, alimpeleka kufanya uzinduzi wa ujenzi wa Daraja fulani kule kusini. Alikuwa anajiwekea mazingira ya kujiweka karibu na jamaa,ndio sababu ya kumsifia mpaka kesho.
Lakini pia mawaziri wetu lazima wajisifu kwamba wamefanya makubwa kuliko viongozi waliowatangulia, maana niwakati ambao wanaiba na hawafanywi chochote.
 
Hii nimeisikia leo kwenye vichwa vya habari vya magazeti.

Mzee Mtei aliwahi kumuomba Nyerere (baba wa taifa) kujiunga na CHADEMA. Nyerere aliduwaa na kuomba kikombe cha chai!

Shahidi ni Mama Maria Nyerere.

Kwani Nyerere alikuwa Mungu?
 
Kwani Nyerere alikuwa Mungu?

la hasha !lakini nyerere alikuwa mcha mungu !
nyerere hakuwa mtu wa kawaida tu,sio rahisi kama tunavyojiaminisha kuwa kila mtu angeweza kumuambia maneno aliyoambiwa na mzee mtei.tuache unafiki na dharau.
 
Hii nimeisikia leo kwenye vichwa vya habari vya magazeti.

Mzee Mtei aliwahi kumuomba Nyerere (baba wa taifa) kujiunga na CHADEMA. Nyerere aliduwaa na kuomba kikombe cha chai!

Shahidi ni Mama Maria Nyerere.
Mtei is parallel to Nyerere in every way, politically and philosophically.
Huwa nawashangaa sana wana CDM wanaojaribu kuwalinganisha Mtei na Nyerere.
Mtei can best be comnpared to Mkapa.... not Nyerere.
Nyerere can be compared to Mugabe.
 
Kwani yeye fisadi kama kikwete na familia yake hadi awe na msaada wa kitu kidogo? Msaada anaoutoa kwa jamii yake ni mawazo na fikra, sio ufisadi wa kikwete.

wewe ndio fisadi ndio mana hata jina lako hapa ni feki,unaogopa tukujuue ili ufisadi wako usijulikane
 
Hii nimeisikia leo kwenye vichwa vya habari vya magazeti.

Mzee Mtei aliwahi kumuomba Nyerere (baba wa taifa) kujiunga na CHADEMA. Nyerere aliduwaa na kuomba kikombe cha chai!

Shahidi ni Mama Maria Nyerere.

zaidi ya kuduwaa angezimia kabisa,asingeweza kujiunga na chama chenye harufu ya kibaguzi za kikanda,kikabila na kidini.pengine ndio kilichomuua
 
Mtei is parallel to Nyerere in every way, politically and philosophically.
Huwa nawashangaa sana wana CDM wanaojaribu kuwalinganisha Mtei na Nyerere.
Mtei can best be comnpared to Mkapa.... not Nyerere.
Nyerere can be compared to Mugabe.

mtei hana hadhi ya kufananishwa na mkapa hata siku moja.mara ngapi tunamsikia akitoa kauli za kitoto mfano tume ya katiba imejaa waislam, kiongozi kama mkapa hwezi kutamka hilo daima
 
Hii nimeisikia leo kwenye vichwa vya habari vya magazeti.

Mzee Mtei aliwahi kumuomba Nyerere (baba wa taifa) kujiunga na CHADEMA. Nyerere aliduwaa na kuomba kikombe cha chai!

Shahidi ni Mama Maria Nyerere.

Lol!!kweli ubinadamu kazi kweli kweli yaani kuna tofauti gani kati ya Nyerere na wananchi wengine kwani yeye Nyerere alikuwa hapigi mswaki kama sie tufanyavyo au alikuwa hajambi kama wewe,ama kweli wahenga walisema mjinga hajitambui.Kumbuka kuwa Rais wa nchi hii ni dhamana tu lakini we're the same hata wewe unaweza kupata dhamana kama hiyo.There's no special one in Politics/Presedintial only ''Jesus is the special One''!!
 
Mzee Mtei anapenda sana kuwaomba omba wanasiasa,Zitto alimuomba asigombee uenyekiti.Sasa Nyerere alitaka kumpa nafasi gani CDM?
 
Kwa hali ya rushwa ndani ya CCM ilivyo, hata mimi leo ningeweza kuonana na mwalimu, ningemshawishi kujiunga na Chadema!!!!
 
Nadhani Mzee mtei ana matatizo fulani fulani, ngoja tusubiri.
Na Wewe una matatizo gani Embu weka yako kwanza hapa kabla yakuanza kujadili ya Mtei manake hayo magamba uliyonayo yantakiwa tuyakakate kwa lazma
 
Back
Top Bottom