Mzee Edwin Mtei alimuomba Nyerere kujiunga na CHADEMA

Mzee Edwin Mtei alimuomba Nyerere kujiunga na CHADEMA

Hakuna cha ajabu hapo, Nyerere binadamu kama wewe.
 
Kuna watu usishangae meningitis wamezuka watu wansema Nyerere ni kawaida!

Magufuli anapita nchi nzima akisema Kikwete ndo kafanya historia, waliomtangulia akiwemo Nyerere hawajafanya kitu.

Siku moja nilikutana na mawaziri wawili wa Kikwete wanatamba hivyohivyo kuwa wamefanya maajabu kuliko Nyerere, hiyo ndo nchi yetu!
 
Last edited by a moderator:
Hii nimeisikia leo kwenye vichwa vya habari vya magazeti.

Mzee Mtei aliwahi kumuomba Nyerere (baba wa taifa) kujiunga na CHADEMA. Nyerere aliduwaa na kuomba kikombe cha chai!

Shahidi ni Mama Maria Nyerere.

Nadhani Mzee mtei ana matatizo fulani fulani, ngoja tusubiri.
 
Kuna watu usishangae meningitis wamezuka watu wansema Nyerere ni kawaida!

Magufuli anapita nchi nzima akisema Kikwete ndo kafanya historia, waliomtangulia akiwemo Nyerere hawajafanya kitu.

Siku moja nilikutana na mawaziri wawili wa Kikwete wanatamba hivyohivyo kuwa wamefanya maajabu kuliko Nyerere, hiyo ndo nchi yetu!
hao mawaziri wanapalilia unga tena watapaza sauti kuhakikisha mheshimiwaa anasikia
 
ningeshangaa sana kama usingeleta "ndogo" yako kwenye thread hii

Huko mbali mkuu, turudi kwenye mada japo n kweli kwamba Mtei angeweza kumwambia hivyo nyerere, mimi siku zote nakuwa na mashaka sana na kauli za huyu Mtei, nashindwa kuelewa ni mtu wa kujipendekeza? ni mtu mwenye chuki binafsi? ni mtu anazeeka na hivyo busara bazo kutokomea au basi ndo ile kusema siyo kila mzee ana busara? Au ni katka harakati za kumwagilia matembelea yasinyauke akakosa kitoeo?
 
hao mawaziri wanapalilia unga tena watapaza sauti kuhakikisha mheshimiwaa anasikia

Kila mtu ana haki ya kujivunia kile alichokifanya nahasa pale mambo yanapoonekana. Tunashuhudia mambo mengine sana JK kafanya tutakuwa waajabu kama tutatbeza maneno yake kuwa kafanya mambo mengi.
 
kamwe siwezi kujilinganisha na Nyerere!

Wewe umefanya nini hadi ujilinganishe na Nyerere? JK sote ni mashuhuda kafanya mambo wengi, wewe hata kupeleka kipamde cha sabuni nyumbani tabu.
 
Kuna watu usishangae meningitis wamezuka watu wansema Nyerere ni kawaida!

Magufuli anapita nchi nzima akisema Kikwete ndo kafanya historia, waliomtangulia akiwemo Nyerere hawajafanya kitu.

Siku moja nilikutana na mawaziri wawili wa Kikwete wanatamba hivyohivyo kuwa wamefanya maajabu kuliko Nyerere, hiyo ndo nchi yetu!

Nyerere alifanya nini zaidi ya kuiwacha nchi maskini wa mwisho duniani?
 
Wewe umefanya nini hadi ujilinganishe na Nyerere? JK sote ni mashuhuda kafanya mambo wengi, wewe hata kupeleka kipamde cha sabuni nyumbani tabu.

Kwani yeye fisadi kama kikwete na familia yake hadi awe na msaada wa kitu kidogo? Msaada anaoutoa kwa jamii yake ni mawazo na fikra, sio ufisadi wa kikwete.
 
what's a big deal kama Mtei alimualika Mwl CHADEMA? Ina maana kama angekuwa hai leo unafikiri angebaki CCM bado? kama wakina Thomas Jefferson aliyeandika katiba ya the US alihama GOP (Republican Party) na kuanzisha Democrat party; what the hell is wrong with Mtei inviting Mwl in the party he founded that once Mwl praised?
 
Issue si alimuomba ushauri nani. Issue ni je alikuwa na visheni gani. Nyerere is long gone. Hata kama ni kweli hii itatusaidia nini? Tuihukumu CDM kwa matunda ya mikono yake badala ya waanzilishi wake. Mtei bila shaka ni mzee sana hivyo aweza kupoteza hata kumbukumbu. Ni jambo la kawaida kati umri wake. Tumuache apumzike salama mzee wetu.
 
Kuna watu usishangae meningitis wamezuka watu wansema Nyerere ni kawaida!

Magufuli anapita nchi nzima akisema Kikwete ndo kafanya historia, waliomtangulia akiwemo Nyerere hawajafanya kitu.

Siku moja nilikutana na mawaziri wawili wa Kikwete wanatamba hivyohivyo kuwa wamefanya maajabu kuliko Nyerere, hiyo ndo nchi yetu!

Muulize Mo Ibrahim.
 
Mbona mnajipaisha sana? Ni kweli inawezekana nyerere alishangaa akaomba chai,kwa sababu wakati mwalimu anakufa hata Cdm ilikuwa haijulikani kokote sana ilikuwa nccr na Cuf acheni kujipaisha,na mwalimu alivyokuwa anawajua watu wakanda hiyo walivyo selfish asingejiunga hata kama wangekuwa na power zaidi ya sasa!
 
Back
Top Bottom