Dkt. David Marshall Mosha , Mwenyekiti Mstaafu wa Bodi za Wakurugenzi wa kampuni ya Ujenzi ya Inter-Consult pamoja Akiba Commercial Bank, amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea leo kiasi cha saa Tano asubuhi katika mji wa Kibuku, kilometa kadhaa toka Korogwe, mkoani Tanga.
Mmoja wa Wakurugenzi wa Inter-Consult Dkt. Startto P. Mosha kathibitisha habari hizo punde, na kusema kuwa mareheu alikuwa akisafiri yeye na dereva wake kutoka Dar es salaam kuelekea Moshi, kabla gari lake aina ya Toyota Double Cabin halijaacha njia na kupinduka kwa sababu ambazo bado hazijajulikana.
Dkt Stratto Mosha amesema mipango ya mazishi itafanywa baada ya mwili wa marehemu ambao uko katika chumba cha maiti cha hospitali ya Wilaya ya Korogwe utapoletwa nyumbani kwake Mbezi Chini, karibu na mafleti ya BOT, na kwamba tayari timu imeshaondoka kwenda Korogwe.
Source:MICHUZI
Rejao acha vituko umeleta taarifa halafu unatuuliza nini ?Kuna tetesi kuwa Davis Mosha aliyekuwa Kiongozi wa Yanga amefariki dunia kwa ajali leo mchana
je kuna ukweli? mwenye taarifa atujuze plz
Dkt. David Marshall Mosha , Mwenyekiti Mstaafu wa Bodi za Wakurugenzi wa kampuni ya Ujenzi ya Inter-Consult pamoja Akiba Commercial Bank, amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea leo kiasi cha saa Tano asubuhi katika mji wa Kibuku, kilometa kadhaa toka Korogwe, mkoani Tanga.
Mmoja wa Wakurugenzi wa Inter-Consult Dkt. Startto P. Mosha kathibitisha habari hizo punde, na kusema kuwa mareheu alikuwa akisafiri yeye na dereva wake kutoka Dar es salaam kuelekea Moshi, kabla gari lake aina ya Toyota Double Cabin halijaacha njia na kupinduka kwa sababu ambazo bado hazijajulikana.
Dkt Stratto Mosha amesema mipango ya mazishi itafanywa baada ya mwili wa marehemu ambao uko katika chumba cha maiti cha hospitali ya Wilaya ya Korogwe utapoletwa nyumbani kwake Mbezi Chini, karibu na mafleti ya BOT, na kwamba tayari timu imeshaondoka kwenda Korogwe.
Source:MICHUZI
kumbe ni Mosha mwingine sio yule jambazi.
Hata mimi namshangaa!mkuu unaleta Utani hadi kwenye habari za kifo
afi mkuu jamaa nimemwacha pale newafrica anakula monde mpwa nendamd ahii kama uko free
vipi ndo yule mosha wa yanga?mia
Kuna tetesi kuwa Davis Mosha aliyekuwa Kiongozi wa Yanga amefariki dunia kwa ajali leo mchana