Mzee David Mosha wa INTERCONSULT afariki kwa ajali

MTM, sina tabia ya kusifia wenye nacho ila deep down my heart ninapenda haki itendeke.

Hao wenye nacho sio kuwa huwa nawasifia bali nawatetea pale wanapojengewa chuki kwa sababu ya walicho nacho.

Tuna watu humu ni hate preachers!.

The truth kuhusu mimi ni masikini wa kutupwa ila umasikini wangu ni wa kujitakia for the love ya kufanya ninachokifanya for the love of it na hivyo kuturn down well paying decent jobs na kuendelea kusota mavumbini!. So I'm not playing dead, I was almost dead lucky to be alive! and by now I'm half dead saves for my brain and partly mu body!.

Hayo niliyosema kuhusu marehemu ni truth 100% sure ila ni ubinaadamu mtu akishatangulia mbele ya haki husifiwa kwa mazuri yake tuu. Hayo mabaya nimeyaweka kama angalizo la malipo ya 'karma' hapa hapa duniani kwa yale uliyoyafanya!.

Mimi ni beliver wa 'karma' na sio mkamilifu, hivyo kuna malipo mengi nimelipa na ninaendelea kulipa ila hili la kuniita window shopper na unethical katika uandishi, unakua hunitendei haki simply kwa kuusema ukweli wangu dhidi ya heroes mnaotaka kuwageuza malaika.

We all human, no one is perfect.

RIP Mosha.

Pasco.
respect... naheshimu mawaZO YAKO, ila labda nilipitiwa nikawa nina bahati ya kusoma post zako zenye kusifia wenye navyo tu kwa muda

I am sorry
 
Back
Top Bottom