Mzee David Mosha wa INTERCONSULT afariki kwa ajali

heli yako mosha umetangulia kuachana na dunia hii iliyojaa madhulma, mafisadi, mamafia nenda kapumzike kaka
 
Davis Mosha??????JK angetangaza bendera nusu mlingoti maana ni mbia wa Riz1 ktk kampuni ya kobil etc
 
Nii habari ya kusikitisha sana maana marehemu ndiyo haswaa aina ya role models tuliotakiwa kuwa nao katika jamii. The guy achieved the best thru hard working, uadilifu na commitment ni mmoja kati ya watanzania wachache ambao you can tell bila kigugumizi namna walivyo-accumulate wealth. Above all he valued elimu and did show by example kwamba elimu ni ufunguo wa maisha thru himself. Interconsult has so far become one of the best performing construction company inayomilikiwa na wazalendo.

RIP David Mosha, utakumbukwa daima and your legacy will live on.
 
Rejao huyu Davis Mosha wa Yanga na David Mosha wa Inter Consult mbona majina tofauti?! Kweli umeshindwa kugundua hata hilo?!

Sasa kama kuna wawili wenye kukaribia kufanana majina mnamlaumia nini Pdidy?
Hiyo herufi ya mwisho kwwnye jina la kwanza ni kitu kidogo sana kwa mtu ambae kapata kadhaa kichwani kuweza kugundua
 
i
Poleni ndugu na jamaa wa David Mosha... Mtoto wake naye alikufa baharini kule Mbezi Beach jirani na Rainbow Club...mwaka juzi...
TB, Namfahamu huyu Mosha wa Inter Consult kwa jinsi alivyo kuwa ni zulmat wa nyumba za watu. Alipanga nyumba ya mtu pale Drive in (THB) estate kwa mkataba wa miaka 10. Nyumba hiyo ilikuwa kwenye morgage ya bank. Jamaa alilipa lile deni kule bank akakabidhiwa hati, akauza ile nyumba kwa mwarabu for millions. Mwarabu kavunja nyumba kashusha ghorofa. After expire ya lease, mwenye nyumba kaja na kushtuka nyumba haipo aliyepo kanunua paper work yote imebadilishwa. Mpaka sasa kesi iko mahakamani.

Sio vizuri kutaja maovu ya watu wakishaitwa kwenye makao ya milele, ila ni muhimu kuangalia ni vifo vya namna gani vinawakuta hawa matajiri wetu wa ill gotten wealth. Kama mtoto wake alikufa maji na baba ndio kifo cha ajali, it might be just a coincidence or its the work of the 'karma' ya malipo ni hapa hapa duniani.

RIP David Mosha wa Inter Consult.
 
Duuh! Kama hii habari ya kudhulumu ni kweli + ile ya kuwa m-bia na riz1 kwenye makampuni ya mafuta ya Kobil bila shaka sasa utakuwa msiba wa kitaifa.
 
Nii habari ya kusikitisha sana maana marehemu ndiyo haswaa aina ya role models tuliotakiwa kuwa nao katika jamii. The guy achieved the best thru hard working, uadilifu na commitment ni mmoja kati ya watanzania wachache ambao you can tell bila kigugumizi namna walivyo-accumulate wealth. Above all he valued elimu and did show by example kwamba elimu ni ufunguo wa maisha thru himself. Interconsult has so far become one of the best performing construction company inayomilikiwa na wazalendo.

RIP David Mosha, utakumbukwa daima and your legacy will live on.
Mkuu Nyambala nakubaliana na wewe kuwa marehemu ni role models tuliotakiwa kuwa nao katika jamii na kuwa the guy achieved the best thru hard working, uadilifu na commitment na ni mmoja kati ya watanzania wachache ambao you can tell bila kigugumizi namna walivyo-accumulate wealth na hakuna ubishi kuwa Interconsult is one of the best performing construction company inayomilikiwa na wazalendo.
Ila pia not all that gliters is gold!. Pamoja na mazuri yote, that is the side most people knows. Matajiri wetu wengi pia wana the other side of the same coin. They have the good side as well as the bad and the ugly. Now the man has died, lets concetrate on the good only and bury the bad and the ugly.

RIP David Mosha, your good legacy will live on and the bad be burried forever!.
 
i
TB, Namfahamu huyu Mosha wa Inter Consult kwa jinsi alivyo kuwa ni zulmat wa nyumba za watu. Alipanga nyumba ya mtu pale Drive in (THB) estate kwa mkataba wa miaka 10. Nyumba hiyo ilikuwa kwenye morgage ya bank. Jamaa alilipa lile deni kule bank akakabidhiwa hati, akauza ile nyumba kwa mwarabu for millions. Mwarabu kavunja nyumba kashusha ghorofa. After expire ya lease, mwenye nyumba kaja na kushtuka nyumba haipo aliyepo kanunua paper work yote imebadilishwa. Mpaka sasa kesi iko mahakamani.

Sio vizuri kutaja maovu ya watu wakishaitwa kwenye makao ya milele, ila ni muhimu kuangalia ni vifo vya namna gani vinawakuta hawa matajiri wetu wa ill gotten wealth. Kama mtoto wake alikufa maji na baba ndio kifo cha ajali, it might be just a coincidence or its the work of the 'karma' ya malipo ni hapa hapa duniani.

RIP David Mosha wa Inter Consult.

Pasco,
Bandiko lako halina chembe ya unafiki. Nimelipenda. Kama alitapeli nyumba ya huyo mwananchi, hawezi kuwa mfano wa kuigwa na jamii ya watanzania. Mwenyezi Mungu amweke panapostahili
 
Back
Top Bottom