Mzee David Mosha wa INTERCONSULT afariki kwa ajali

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,220
4,056
kuna Taarifa kuwa David Mosha aliyekuwa mkurugenzi wa Inter consult amefariki dunia kwa ajali leo mchana

Dkt. David Marshall Mosha , Mwenyekiti Mstaafu wa Bodi za Wakurugenzi wa kampuni ya Ujenzi ya Inter-Consult pamoja Akiba Commercial Bank, amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea leo kiasi cha saa Tano asubuhi katika mji wa Kibuku, kilometa kadhaa toka Korogwe, mkoani Tanga.

Mmoja wa Wakurugenzi wa Inter-Consult Dkt. Startto P. Mosha kathibitisha habari hizo punde, na kusema kuwa mareheu alikuwa akisafiri yeye na dereva wake kutoka Dar es salaam kuelekea Moshi, kabla gari lake aina ya Toyota Double Cabin halijaacha njia na kupinduka kwa sababu ambazo bado hazijajulikana.

Dkt Stratto Mosha amesema mipango ya mazishi itafanywa baada ya mwili wa marehemu ambao uko katika chumba cha maiti cha hospitali ya Wilaya ya Korogwe utapoletwa nyumbani kwake Mbezi Chini, karibu na mafleti ya BOT, na kwamba tayari timu imeshaondoka kwenda Korogwe.

Source:MICHUZI
 
afi mkuu jamaa nimemwacha pale newafrica anakula monde mpwa nendamd ahii kama uko free
 
Kuna tetesi kuwa Davis Mosha aliyekuwa Kiongozi wa Yanga amefariki dunia kwa ajali leo mchana
je kuna ukweli? mwenye taarifa atujuze plz
Rejao acha vituko umeleta taarifa halafu unatuuliza nini ?
 
Asante kwa taarifa mkuu
 
jambazi hafi watu wema ndio huwa hawaishi mda mrefu, i wish mafisadi ndio wangekufa na sio huyu mzee wetu
 
Kuna tetesi kuwa Davis Mosha aliyekuwa Kiongozi wa Yanga amefariki dunia kwa ajali leo mchana
je kuna ukweli? mwenye taarifa atujuze plz

Rejao huyu Davis Mosha wa Yanga na David Mosha wa Inter-Consult mbona majina tofauti?! Kweli umeshindwa kugundua hata hilo?!
 
Mosha wa Yanga na Mosha wa Inter-consult ni watu wawili tofauti kabisa.
 
Poleni ndugu na jamaa wa David Mosha... Mtoto wake naye alikufa baharini kule Mbezi Beach jirani na Rainbow Club...mwaka juzi...
 
kuleta utani kwenye kifo au kumwombea na kumsemea vibaya mtu.utakufa kabla ya wakati wako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom