Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,178
- 37,475
Rais Samia Suluhu ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya ambaye amefariki leo Mei 7, 2025 alipokuwa akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Mzena
Aliekaa kwenye kiti mwendo ni CLEOPA DAVID MSUYA
=> Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania 1994-1995
=> Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1980 -1983
=> Waziri wa Wizara tofauti kama wizara ya Fedha na wizara ya viwanda
=> Katibu Mkuu wa Wizara tofauti tofauti
=> Mtia nia ya kuwania urais kupitia Chama cha Mapinduzi Mwaka 1995 alikuwa kwenye wale makada watatu Yeye, B.M Mkapa na JK