Mzee Butiku, ulimuuliza Samia kwanini anamfunga Lissu?

Mzee Butiku, ulimuuliza Samia kwanini anamfunga Lissu?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,296
Reaction score
96,557
Najua utasema kuwa kesi iko mahakamani tusiizungumzie.

Kesi ya uongo kabisa hata "mjinga" wa sheria analiona hilo!

Umezungumzia waliouawa D29?Wanatendewaje haki?

Umezungumzia utekaji? Mauaji? Nepotism? Wizi wa kura? Bandari? Mbuga zetu? Rasilimali zetu kuuzwa kiholela in general....etc etc
Katiba ni kijitabu
 
Wazee wengi hawako sawa,wanaamini nchi inaendeshwa kwa strategy zile zile miaka nenda rudi .
 
Back
Top Bottom