Mzee baba, pakacha limeanza kuvuja ujue...

Tapata wapi Vitabu vya fasihi ili niweze elewa nyuzi hizi,Vitabu vyenye fahihi zifuatazo karumekenge,mfalme ****,Kibanga ampiga mkoloni, ngoswe,wagagagigikoko,adili na nduguze nk
Sijui mkuu
 

kilemakyaaro ni kilimanjaro!!!kwa kichaga!!!
 
Andika kiswahili wala sijakuelewa umepoteza muda mpare
Alimaanisha hivi; kwakua ID yako ina neno kilema, vile vile Mind yako itakua na ka ulemavu (kilema ) fulani hivi coz Bashite (au sijui Makonda) uliyemzungumzia humu hakutajwa na mtoa mada, ( hata kama ID yako ya kilemakyaaro = kilimanjaro) na kilimanjaro hatuna mazwazwa kama wewe wasiojua kupambanua mambo
 
Alimaanisha hivi; kwakua ID yako ina neno kilema, vile vile Mind yako itakua na ka ulemavu (kilema ) fulani hivi coz Bashite (au sijui Makonda) uliyemzungumzia humu hakutajwa na mtoa mada, ( hata kama ID yako ya kilemakyaraaro = kilimanjaro)
Huyo Mshana yeye anawazaga matunguke yake ya upareni tu
 
Iweke kama user ID, na sio jina la mahali.. Pia naomba rudia mstari kwa mstari nilichoandika
vyovyote iwavyo haina uhusiano na neno kilema au upungufu wowote kama ulivyotaka kutanabaisha!!tafuta namna nyingine za kumponda huyo jamaa lakini sio kudhalilisha lugha za watu za heshima za mababu na mababu zao
 
Tatizo mzee baba anatumikia upande usio na mwangaza, halafu ahadi alizotoa akapewa ufalme ndo zinamtesa saivi.

Anakula fahari ya ufalme kwa nje ila kwa ndani anatumikia kiapo ambacho hakitamwacha salama.

Angejua asingenadi nafsi.
 
Hallooo!!! Mkuki kwa nguruwe mtamu, ila kwa binadamu mchungu kama nini!!

Huu mkuki uko kifasihi zaidi, pole kwa aliyeguswa.

Asante Max na team yako ya jamiiforums la sivyo magereza zingekuwa pomoni!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…