Mzee baba, pakacha limeanza kuvuja ujue...

Sijakuelewa bado
 
Mshana umenena vyema lakini sina hakika kama kina jinga lao, stroke na wakudadavua plus laki si pesa watakuelewa.
Hongera mshana

Jiwe limerushwa kwenye msitu wa simba akikurupuka huko tusije paramia mpunga tukadhani ni mti.

hahahaha Bavicha mnajua kujifurahisha leo hii hata huyu mchawi eti naye ana aminika kwa story za vijiweni hahahaha
Bado nashangaa kwa na kujiuliza kwa JF wameanza kuruhusu taka taka kama hizi za kudhalilisha watu kwa uzushi.....
 
And a crippled life too.
Shikamoo KITI!
 
Mkuu Mshana Jr. ahsante sana .... nimependa huu uzi wako sana na naona ujumbe utamfikia Mzee baba kabla pakacha halijavujisha kila kitu!
 
Sisi tulioruka stage tuyajulie wapi hayo? Ukizingatia tuliletwa mjini na gari za Ng'ombe tukashushwa Ubungo mataa tukaambiwa hapa ndo mjini.Kwetu zinapita gari za mwenge tu au ya padri akija jpili kwenye misa.
 
Sure mkuu matokeo yake Nanasi linageuzwa chakula sasa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…