Kuna wale wazee na kawimbo kao kalikokosa udhamini wa kuingia studio... Naambiwa singo yao ile haikidhi vigezo... Kale kawimbo ka MATEMBELE NI MATAMU.... Kweli Ngoswe aliona mbali... Na mtunzi wa MATEMBELE aliona karibu....
Poa mkuuBabati acha utani mkuu wangu
Naomba kujua Wazo sehemu gani ?Cheupe anae mponza ngoswe ni yule wa WAZO au kuna mwingine
Play: The trials of Brother King Kong.
Setting: Chertow, Oct 2015
Realised : Jan 2018
Story teller: Mshana Jr.
Hahaa umenifurahisha na hlo neno FYATUA. nilikowah kulisikia sasaNi mwendo wa kufyatua tuu...... Neno linasema.. Basi zaaneni mkaongezeke muijaze dunia.... Ilikuwa ni pale bustani ya Eden
Dawa ni kumchana mzee baba ni kupitia tweeter, then tunawasingizia wadukuzi kama alivyo fanya Riz1...
Kwani DaMange kasemaje...??
Ndio Dada namba 1 hapa nchini, maana yeye ndie alietuletea habari ya MAMA wa 1 kupewa kichapo kutoka kwa MZEE BABA hadi kusababisha apelekwe kulazwa MUHAS kwa MGANGA eti kwa kisingizio cha UZALENDO
Eti da Mange kasemaje kwani??
Ndio Dada namba 1 hapa nchini, maana yeye ndie alietuletea habari ya MAMA wa 1 kupewa kichapo kutoka kwa MZEE BABA hadi kusababisha apelekwe kulazwa MUHAS kwa MGANGA eti kwa kisingizio cha UZALENDO