kabombe with all due respect naomba nikufahamishe jambo.. Nadhani unazifahamu hizi SCANIA za kisasa... Hizi gari zina gia 12.... 6low... 6high.. Combination ya hizi gears ndio zinaleta upekee kwenye hizo gari.... Huwa tuna tabia ya kudharau namba sifuri... Lakini tarakimu haziwezi kukamilika bila sifuriToo low kiongozi
With all due respect naomba tusiweke ligi kwenye hili
VERYinteresting
Kuna lodge moja matata sana inaitwà botania, hapo ndio machinjoni kwangu! Utalala tu usijali,kesho sio mbalintakuja na jichawa hybrid jeupee... Malazi vepee?
Ila uvue hayo mawani!ntakuja na jichawa hybrid jeupee... Malazi vepee?
Vifanyio viko vingi tu hapa, wewe tu cheupe,cheusi,maji ya kunde,kirefu,kifupi,chembamba,kinene,wewe tu!Ngoja kifanyio nikipeleke service
Hii ni tamthilia au simulizi ?
Twende hospital au tutumie mizizi ?
Hivi hii ni ndoto au jinamizi ?
Na hasa hizi hasira za mkizi
Mambo yanatokea kama ajizi
Washangaa ya leo hukumbuki juzi
Yapo bayana kwa mbumbumbu na wajuzi
Wenyewe wameuchuna uso kama mbuzi
Usistaajabu raia kuwa mkimbizi
Hata nchi kavu waweza kupiga mbizi.
Yeah! Matembele ni Matamuuuuuu!!!!!!@Naam,Ahsante kwa fasihi,na jiwe limemgonga mtu!
Mshana Jr anatisha! Message inafika bila chenga! Kwanza ni burudani lakini pia imeshiba ujumbe mzito! Umewasemea wenye chama chao wamefurahi sana!!!daaa! we jamaa kwa fasihi ni nooma aisee, hahahahaaa chama la wana