Mzee baba enough is enough

Mzee baba enough is enough

Bonny anataka hadi nimbembelezeeeee, ananichosha tu.
Boooony nitumie hela basi kaka yangu kipenzi.
Halafu wanawake siku hizi mnatulaumu ooh wanaume wameisha...

Naona pia wanawake wanaelekea kuisha walai "mwanamke unashindwa kumbembeleza mwanaume atoboke asijue saa ngapi kazitoa pesa??
 
Halafu wanawake siku hizi mnatulaumu ooh wanaume wameisha...

Naona pia wanawake wanaelekea kuisha walai "mwanamke unashindwa kumbembeleza mwanaume atoboke asijue saa ngapi kazitoa pesa??
Sasa nawe kwanini usubiri hadi ubembelezwe? Si ujiongeze tu!!!
 
Sasa nawe kwanini usubiri hadi ubembelezwe? Si ujiongeze tu!!!
Kwani haujui tunapenda kubembelezwa! Usiponibembeleza unataka nani afanye hivyo.

Kujiongeza kunakuja unaponipetpet.. tena nakupa uzitunze wewe.
 
Siamini kuwa kuna Ndoa zisizo na changamoto za usaliti na migogoro ya hapa na pale.

Na katika ndoa Psychologists hata wakiwa 100 hawawezi kuwa suluhisho kamili.

Suluhisho la Migongano, mikwaruzano na taabu za ndoa lipo kwa Mungu tu aliyekusudia ndoa hiyo.

Psychologists ni binadamu kama wewe na wao pia wanaoa hivyo naamini yanawakuta pia kama vile ambapo Daktari anayekutibu naye huwa anaumwa na anakufa kwa Ugonjwa.
ndoa nyingi zinakwazwa na ubabe(haki sawa kwa wote),tamaa(ya vitu vizuri na kinyama) na kukosa malengo katika ndoa
 
Kwani haujui tunapenda kubembelezwa! Usiponibembeleza unataka nani afanye hivyo.

Kujiongeza kunakuja unaponipetpet.. tena nakupa uzitunze wewe.
Sasa kaka zangu niwabembeleze, na shemeji zenu nao niwabembeleze! si mtanizeesha jamani!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] i love Chriss Mauki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom