DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,049
- 30,954
Nn
Anaharubu ndoa za watu yule. Mi nafikiri hua andika unfulfilled wishes zake. Yaani anaandika yale anayoyakosa kwake. Bahati mbaya followers wake wengi ni wanawake.Mauki anawajambisha
Sio lazima umfahamu kila mtu my kaka.
Role Model wa wadada wa mjin kwa maana kila mwanaume mkamilifu mfano huwa wanamchukulia yeye ukiwabishia tu utasikia Mauki kasema
Afadhali hatumjui wote.Sio lazima umfahamu kila mtu my kaka.
Shikamoo!
Walai simjui ngoja niingie Youtube nikamwone...Role Model wa wadada wa mjin kwa maana kila mwanaume mkamilifu mfano huwa wanamchukulia yeye ukiwabishia tu utasikia Mauki kasema
Ndio maana kuna msemo wa ..."Fuata maneno yangu,usifuate matendo yangu"No body is perfect, unaweza kukuta na yeye anaumia ndani kwa ndani huku anaponda wengine
Afadhali hatumjui wote.
Hiyo shikamoo unamsalimia mzee aliyekuwa anakatisha wakati unatype eeh!
Kumbe anawachachafya eeeeh!!Role Model wa wadada wa mjin kwa maana kila mwanaume mkamilifu mfano huwa wanamchukulia yeye ukiwabishia tu utasikia Mauki kasema