Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,714
- 45,103
R.i.p Asas
Lakini wachimbaji ni watu wa kawaida sana yaaniKISUTU KISUTU KISUTU, haya ni makaburi ya VIGOGO.
The monk himselfMh! Kwamba hawa wote hawakuvaa barakoa, maji tiririka waliyaogopa, sanitizer hawazijui na hawakua na uwezo wa kupata chanjo?
Kuna siku niliwahi kusema huenda tunapambana na huu ugonjwa kwa mbinu ambazo sio sahihi kwa sasa, tatizo limebadilika sie tunatumia mtindo ule ule. Nikaomba utafiti zaidi ufanyike.
Apumzike panapostahili, pole kwa wafiwa. Tukumbuke uhai ni zawadi ya thamani tunaipata bila kuifanyia kazi na inatoweka muda wowote. Tuithamini tunapokua na nafasi ya kuendelea kuwa hai.
Ijumaa njema.
Ulikuwa daktari wake ukathibitisha amekufa kwa Corona?Huyu hakuwa amechanjwa? Kwanini vifo hivi vimeongezeka sana na maradufu na hasa kwa watu ambao tunajua fika kabisa wana access ya kuchanjwa haraka na kwa asilimia mia watakuwa wamechanjwa tena bila kusubiri hii ya bure? Why?
Its time for AfricaHuyu hakuwa amechanjwa? Kwanini vifo hivi vimeongezeka sana na maradufu na hasa kwa watu ambao tunajua fika kabisa wana access ya kuchanjwa haraka na kwa asilimia mia watakuwa wamechanjwa tena bila kusubiri hii ya bure? Why?
Hizi ndizo siri ambazo haziongelewi kwenye kampeni ya kitaifa. Najua muda si mrefu, utakuja na conclusion. Endelea na research.Huyu hakuwa amechanjwa? Kwanini vifo hivi vimeongezeka sana na maradufu na hasa kwa watu ambao tunajua fika kabisa wana access ya kuchanjwa haraka na kwa asilimia mia watakuwa wamechanjwa tena bila kusubiri hii ya bure? Why?
Hawswezi kulisema hilo, kwamba alikuwa kachanjwa.Naungana nawe kusubiri majibu!
Pole kwa familia.
Mwache afanye research. Maana ya kuwazuia watu wasiende kwenye msiba nyumbani ni nini hapa? Wewe umechanjwa?Ulikuwa daktari wake ukathibitisha amekufa kwa Corona?
Ninaona wengi wanakufa kwa hiyo ndude baada ya kuchanjwa ama wanakufa kwa chanjo .Hawswezi kulisema hilo, kwamba alikuwa kachanjwa.
The monk himself
Ndio maana kelele nyingi zinalenga chanjo kwa wazee ni mkakati wa kuwapa vijana mirathiKipindi hiki wale wenye ukwasi inabidi wajipange vyema maana wenye tamaa ya urithi wanaweza kutumia opportunity ya uviko kuwarudisha mavumbini ili warithi ukwasi wao
Kifo ni usingizi wa kitambo kifupi kabla ya kufufuliwa swali utafufuka ufufuo wa 1 au wa pili Mungu atusaidie tuwe ule wa 1. Pole kwa familia
Sina takwimu kwamba miongoni mwa wanaokufa wapo waliochanjwa. Tusaidie tafadhali.Ninaona wengi wanakufa kwa hiyo ndude baada ya kuchanjwa ama wanakufa kwa chanjo .
Tume copy na kupaste mbinu za Ulaya ambazo hazifanyi kazi AfrikaMh! Kwamba hawa wote hawakuvaa barakoa, maji tiririka waliyaogopa, sanitizer hawazijui na hawakua na uwezo wa kupata chanjo?
Kuna siku niliwahi kusema huenda tunapambana na huu ugonjwa kwa mbinu ambazo sio sahihi kwa sasa, tatizo limebadilika sie tunatumia mtindo ule ule. Nikaomba utafiti zaidi ufanyike.
Apumzike panapostahili, pole kwa wafiwa. Tukumbuke uhai ni zawadi ya thamani tunaipata bila kuifanyia kazi na inatoweka muda wowote. Tuithamini tunapokua na nafasi ya kuendelea kuwa hai.
Ijumaa njema.