Hili la kuchukua wanachama wa zamani wa vyama vya upinzani na kujifanya wametoka upinzani leo kuiunga mkono ccm, eti na wengine wengi wamekuwa wakikupigia simu kujiunga na ccm baada ya kuuona mabadiliko yanayofanywa na ccm bila kutaja hata mmoja, ni propaganda uchwara. Na inaonesha unajilazimisha kufanya siasa ambaxo huziwezi wala huendani nazo!
Poor you! Mnawafukuza wanachsmavwenu halafu tena mnachukua wale ws upinzani walioshindwa katika kura na kukosa pa kwenda? What is this? Mmejuaje kuwa nao hawatakuwa wasaliti?
Nimeshangaa kukuona na wewe unashabikia mambo yaleyale ya kizamani ya kina Nape, ya kununua wapinzani. Nilidhani kweli mmeamua kuzaliwa upya kumbe propaganda tu!