timothkaswaga
Member
- Jan 29, 2017
- 63
- 38
Itakuwa ajabu sanaAsipopata anachotafuta atahama tu.
Itakuwa ajabu sanaAsipopata anachotafuta atahama tu.
Kwani mnavyowaita oil chafu Lowassa, Sumaye,Masha,Wema NA wengine wengi waliotoka CCM walifukuzwa huko CCM au walitoka wenyewe baada ya kuona demokrasi hahakuna?Makapi gani? Kwani walifukuzwa kwenye vyama vyao kama kina Madabida?
Sawa. Hata kama hawakufukuzwa huoni kwamba wamekuja huko bsada ya kukosa pa kwenda baada ya kushindwa katika uchaguzi uliopita? Machali kagombea akiwa ACT kashindwa, Na huyo dr Fubusa nani sijui, aliyegombea kigoma kaskazini kwa tiketi ya chadema naye alishindwa. Huoni huu ni usaka tonge huu? Arfi katoka chadema kaenda act katoka act kaenda ccm, kuna mtu hapo? The same applies to Machali!Makapi gani? Kwani walifukuzwa kwenye vyama vyao kama kina Madabida?
hahaha. Wale mnaowaita makapi waliohamia chadema kwani walifukuzwa?Hao jamaa sio makapi bali wameamua wenyewe kuondoka kwenye vyama na kwenda ccm. Hawakufukuzwa ni wanademokrasia
Utakua umekunywa kiroba feki,arfi alirudi ccm mwenyewe na fomu ya ubunge alichukuaNdio tabia zenu za kukana ukweli.....Huyu alikuwa kiongozi mkubwa chadema mbna hatujawa sikia CHADEMA wakimvua uanachama???????
LAKINI HII SI BIG DEAL...big deal hapa ni kuwa ARFI katoka UPINZANI KAJA CHAMA BORA CCM.......
Sasa mbona CCM wamefanya maigizo ya kumwonyesha kama mgeni? Yaani hadi aligombea kura za maoni ndani ya chama, halafu anatambulishwa kama mpya? Kweli CCM wameishiwa....watanzania wangekuwa wanajielewa, CCM sasa ni kama mlevi, huhitaji nguvu nyingi, ni kumsukuma tu, chali...
mzee alijihuzuru mwenyewe usimsingizi .huyo siyo oil chafu.Kwa hiyo leo CCM mmekubali kuwa mmepokea makapi a.k.a oil chafu?