MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
ARFI amwogope Mungu aache unafki huyo mzee, Alihama CHADEMA mwenyewe alirudi CCM, na 2015 anagombea ubunge kwa tiketi ya CCM wakambwaga kura za maoni wenyewe, kwanini wanakua wanafki hawalisemi hili.Kwani rekodi za wagombea ubunge jimbo la mpanda kura za maoni CCM rekodi hazipo? Aligombeaje 2015 kama alikua bado yuko CHADEMA. Unakua mtu mzima halafu unadanganya ni mbaya sana