Mzee Arfi si mwanachama wa CHADEMA tangu mwaka 2014

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
1,344
1,531
Wanajamvi!

Amani iwe kwenu!


Naomba kukanusha kuwa Mzee wangu Arfi si mwanachama wa CHADEMA Tangu mwaka 2014,

Alimfuata Zitto ACT-Wazalendo, Alijivua uongozi wa CHADEMA mara tu baada ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu bara wakati huo Mh Zitto Zuberi Kabwe kuvuliwa uongozi ndani ya chama.

Njaa kitu kibaya sana, Kila mtu nilikuwa CHADEMA kila Mtu CHADEMA!

Viva CHADEMA Viva UKAWA
Mbioni Arusha kumchagua Lissu.
 
Nchi tamu sana hii,

Nalipenda hili game,

Wewe ulihama NCCR ukaenda ACT na huko umehama umeenda CCM lazima utakuwa na matatizo.

Hujiamin na utakuwa msakatonge tu.


Halafu wote waliohama mbona hawana madhara kwenye chama angehama lisu sawa.

Hao wote walishindwa kama ulishindwa katika uchaguzi it means hufai tena kuwepo katika chama means huna ushawishi wowote.
 
Wanajamvi!

Amani iwe kwenu!


Naomba kukanusha kuwa Mzee wangu Arfi si mwanachama wa Chedema Tangu mwaka 2014,

Alimfuata Zitto ACT-Wazalendo, Alijivua uongozi wa chadema mara tu baada ya aliyekuwa Naibu katibu mkuu bara wakati huo Mh Zitto Zuberi Kabwe kuvuliwa uongozi ndani ya chama.

Njaa kitu kibaya sana, Kila mtu nilikuwa Chadema kila Mtu Chadema!

Viva Chadema Viva Ukawa
Mbioni Arusha kumchagua Lissu.
Lisikupe shida chadema wamemsajili wema sepetu Wao ccm waacche tu Majembe yao arfi, machali na Dr yared... Ipo siku Nasi tutasajili watu muhimu Kama wanavyofanya ccm
 
Ndio tabia zenu za kukana ukweli.....Huyu alikuwa kiongozi mkubwa chadema mbna hatujawa sikia CHADEMA wakimvua uanachama???????
LAKINI HII SI BIG DEAL...big deal hapa ni kuwa ARFI katoka UPINZANI KAJA CHAMA BORA CCM.......
Wakitoka upinzani kuja huko ccm hawawi makapi au wauza ngada kama mnavyowaita kwa sasa, ila MTU akihamia tu upinzani mnambambika jina maarufu kwa sasa la muuza ngada!!!!!Haya sasa wametoka upinzani wamekuja huko, jina lao la wauza ngada mmewafutia??
Hii ndiyo TZ ya viwandaaaa......
 
Hili la kuchukua wanachama wa zamani wa vyama vya upinzani na kujifanya wametoka upinzani leo kuiunga mkono ccm, eti na wengine wengi wamekuwa wakikupigia simu kujiunga na ccm baada ya kuuona mabadiliko yanayofanywa na ccm bila kutaja hata mmoja, ni propaganda uchwara. Na inaonesha unajilazimisha kufanya siasa ambaxo huziwezi wala huendani nazo!

Poor you! Mnawafukuza wanachsmavwenu halafu tena mnachukua wale ws upinzani walioshindwa katika kura na kukosa pa kwenda? What is this? Mmejuaje kuwa nao hawatakuwa wasaliti?

Nimeshangaa kukuona na wewe unashabikia mambo yaleyale ya kizamani ya kina Nape, ya kununua wapinzani. Nilidhani kweli mmeamua kuzaliwa upya kumbe propaganda tu!
 
Back
Top Bottom