Mzazi mwenzangu wangu mvivu

Mzazi mwenzangu wangu mvivu

Uchafu na uvivu ni mambo ya kawaida tu kwa vibinti vya kileo. Hata ukioa/ukisogeza 'house girl' akifika kwako lazima vitabia hivyo vitajitokeza. Suruhisho, nunua mashine ya kufua nguo na kuosha vyombo, au ajiri wa kufua nguo na kuosha vyombo kila siku wa kuja na kuondoka, uwe una mtoa buku tatu kila siku. Ili mama mtoi, apate muda wa kuchat na kutengeneza kucha zake, ziwe ng'aring'ari (zisifubae), hapo kila mara utajihisi upo na malkia ndani mwako na wewe ndo mfalme kinyume na hapo, piga mguu chini, uendelee kula kwa mama lishe, nguo mpelekee dobi, na mambo ya chumbani, uwe unaibukia, kwa wadada poa (cha buku mbili), maisha yanaendelea, kinga ni bora kuliko tiba.
Kapanga chumba na sebulee unasema habari za mashine ya kufuaa mkuu[emoji1787]
 
Kapanga chumba na sebulee unasema habari za mashine ya kufuaa mkuu[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui wanawake waliokuwa wanajua wajibu wao waliishia wapi. Siku hizi tuna wanaume wenzetu, kutwa kutaka kushindana
 
Kapanga chumba na sebulee unasema habari za mashine ya kufuaa mkuu[emoji1787]
Bado nimetoa option nyingine ya kumlipa elfu tatu, mtu wa kufanya hizo kazi na kuondoka, mkuu. Hata hivyo, yawezekana yupo kwenye ujenzi.
 
Namimi ndio niliwaza mbali sana hali yakuwa yupo tu nyumbani achangii hata mia ila anataka tuwe tunachomeka net kwazamu je sasa akipata kazi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnachomeka neti kwa zamu[emoji1787][emoji1787]
Wife = Baba flulanga leo naomba uchomeke net vizur na miguu yako huwa ina sagamba angalia usichane neti
 
Huyo habadiliki hata kwa mtutu wa bunduki. Nilikuwa na situation kama hiyo mbaya zaidi hajui hata kupika. Nikamtafutia mtu amfundishe akagoma, nikamwambia atafute yeye pia akagoma. Mwisho wa siku akanitamkia hawezi kubadilika. Nikamsepesha kwao.
Mimi najua kupika.
Jimbo liko wazi?
 
Mkazie mkuu acha khlalamika sio kwamba kazi hawezi naweza ila ndo kujikuta nae kama ndoa kamaliza hivo usicheke nae mkazie ndita
 
nyie ndo mnafanyaga watu wawe insecure na mionekano yao uvivu ni tabia ya mtu wala haihusiani na unene wala wembamba.... maana hata huko mbeya unakomshauri akaoe kwamba ni wachapakazi bado asilimia kubwa ni wanene
Bora umeandika.
 
Ujue hata wewe utakuwa unamkera ndo maana anakutreat hivyo au kuna sehemu unapwaya kama baba wa nyumba.
Jiangalie na wewe jirekebishe mlee mtoto wenu si vizuri kuachana na mmeshazaa na maisha yenu ya chumba na sebule.
Kugawa kipato chako sehemu mbili haifai wakati mnaweza kukaa pamoja na kujenga maisha yenu na ya mtoto.

Kazi za ndani na mtoto mdogo zinachosha sana zinachosha hasa na zinachosha zaidi pale mwanaume anapoona mwanamke hana anachofanya.
 
Uzi wa tatu huu ndani ya wiki moja wakilalamikiwa wadada tabia za uchafu, uvivu na kutokuwa waaminifu.
Huyo bila shaka ni Bonge, mademu mabonge ni wavivu sana.
Kaoe Mbeya wadada wachapakazi. Wife wangu kila nikimwambia nikuletee house girl hataki anasema kama nina pesa nyingi nimlipe yeye. Anapiga majukumu yote kila siku bila malalamiko.
Huyo huenda utoto unamsumbua au alilelewa vibaya kwao.
Mvumilie
Poor and negative response! Acha uvivu wa kufikiri na kuwa generalized mbona bonge wengi wasafi na wachapa kazi, boya wewe!
 
Wanawake wa hivyo huwa wanajali sana kuonekana wasafi kimavazi na kujiremba, ukikutana nae unasema mke si ndo huyu , ukimvuta ndan tu unakuta had ukoko wa jana upo ndan, maganda ya nyanya had sitting room
Yaani huwa sijui kwanini inakuwa hivi
 
Back
Top Bottom