Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,769
- 49,858
Ok. Ni kutokijitambua tu kunamsbua.Sio bonge nimwembamba
Ok. Ni kutokijitambua tu kunamsbua.Sio bonge nimwembamba
Hapo kumuacha itakuwa ngumu hasa kama mtamu. We pambana bro! 🤣🤣🤣🤣🤣Kwenye game simsemi vibaya anatoa tena wakati mwingine anaomba mwenyewe.
sasa amesema ana chumba kimoja 😂😂😂beki 3 atawekwa wapi😂😂😂Hapo kumuacha itakuwa ngumu hasa kama mtamu. We pambana bro! 🤣🤣🤣🤣🤣
Mtaftie beki 3 tu...
Atalala sebleni mkuu!sasa amesema ana chumba kimoja 😂😂😂beki 3 atawekwa wapi😂😂😂
nyie ndo mnafanyaga watu wawe insecure na mionekano yao uvivu ni tabia ya mtu wala haihusiani na unene wala wembamba.... maana hata huko mbeya unakomshauri akaoe kwamba ni wachapakazi bado asilimia kubwa ni waneneUzi wa tatu huu ndani ya wiki moja wakilalamikiwa wadada tabia za uchafu, uvivu na kutokuwa waaminifu.
Huyo bila shaka ni Bonge, mademu mabonge ni wavivu sana.
Kaoe Mbeya wadada wachapakazi. Wife wangu kila nikimwambia nikuletee house girl hataki anasema kama nina pesa nyingi nimlipe yeye. Anapiga majukumu yote kila siku bila malalamiko.
Huyo huenda utoto unamsumbua au alilelewa vibaya kwao.
Mvumilie
ila ongea nae au umuulize ye anataka awe anafanya nini na nini ili asione kazi nyingiNdio hapo mkuu
Sawa mkuuHutakaa upate mwanamke ambaye ana vigezo vyote unavyotaka.
Lazima awe na weakness tu, anaweza akawa mchapakazi ila anagawa mbunye kwa kila mwanamume anaemtongoza..
Huyo mvumilie, weaknesses zake ni ndogo sana hizo,.. Pia usipende ku respond kwenye kila lalamiko analotoa, malalamiko mengine akikuambia ukiona hayana msingi wala usimjibu, kaa kimya atajiongeza mwenyewe... Ukiwa mwongeaji kwa kila suala, atakuchukulia poa
Labda umpate msafii ila hawana tofautii kabisaaa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kabisa mkuu yaani huyu akisepa itabidi nijipe mda sanaaa
Wew unawajua wanawake vizuri aisee...!!Hutakaa upate mwanamke ambaye ana vigezo vyote unavyotaka.
Lazima awe na weakness tu, anaweza akawa mchapakazi ila anagawa mbunye kwa kila mwanamume anaemtongoza..
Huyo mvumilie, weaknesses zake ni ndogo sana hizo,.. Pia usipende ku respond kwenye kila lalamiko analotoa, malalamiko mengine akikuambia ukiona hayana msingi wala usimjibu, kaa kimya atajiongeza mwenyewe... Ukiwa mwongeaji kwa kila suala, atakuchukulia poa
Mkuu, kumpiga chini huyu mwanamke, itakua ni kosa kubwa endapo ana mapungufu ya uvivu na Uchafu.Wew unawajua wanawake vizuri aisee...!!
Kwanza kudate na mwanamke ni kitu kimoja na Kuishi nae ni kituu Kingine kabisaaa wanawake wengi wana tabia ambazo huzificha wakati wa date ndo maana mnaweza kuwa wachumba miaka 10 lakini mkifunga ndoa mkaishi pamoja mkashindwa kuvumiliana hata miezi 6 ndani sababu ya EGO NA MANENO.
Pole sana mkuu lakini hapa huyu mwanamke inaonekana uvivu ni tabia yake na Uchafu pia so either umvumilie au Umpige chini maana ukishamuoa labda uweke beki tatu ila otherwise utaishi nyumba kama jalala.
Hapo kwenye kulala bila net hapo. Utasababisha tanzania bila malaria isiwezekane.Mkuu, kumpiga chini huyu mwanamke, itakua ni kosa kubwa endapo ana mapungufu ya uvivu na Uchafu.
Ajiulize tu kuwa, huyo mwanamke anampenda kwa dhati? If yes, hizo weakness ni ndogo mno.
Kuna jamaa alioa mwanamke, kumbe mwanamke alikua ni mlevi na mpenzi wa clubs sana... Enzi za uchumba hakuwahi kuweka wazi hizo tabia. Alipoolewa, baada ya miezi kadhaa, anachelewa kurudi home, na akirudi kalewa... But alikua hatoki bila kumaliza kazi zake za ndani na alikua akimpenda mumewe sana.....
Kila siku mke akirudi kalewa, mume anamgombeza sana kelele za kutosha. Mwanamke anaomba msamaha, mume anasamehe, baada ya siku mbili anarudia tena...
Tukamuambia mume asimuulize chochote kila mke akija late amelewa... Ampokee fresh, amuogeshe na kula tunda vizuri.. Kweli akafanya hivyo, akawa hamuulizi chochote na anampa upendo as usual... Yule mwanamke aibu ilimpata, ikabidi akae na mumewe amwambia 'nifundishe kuacha hii tabia ya ulevi mume wangu, niko addicted, mwenyewe siwezi. Nimejitahidi sana nikashindwa'. Mumewe ikabidi awe anamnunulia kinywaji anachopenda anywee home. Ila kila baada ya muda, akawa anampunguzia ratio, hadi akaja kuacha kabisa na sasa wanaish kwa amani.
So matatizo ya ndoa yanatatuliwa na wanandoa wote wawili. Na ukisema kila mwenye weakness umpige chini, utaacha kila mke. Maana wote wana weaknesses.
So, jamaa anapaswa akikuta nyumba chafu, asiongee chochote. Mwanamke asipoweka neti, nayeye asiweke, aingie kitandani alale... Yaani hata siku moja asi respond command / complain ya hovyo ya mkewe... Utaona siku mkewe atapata aibu na a behave
Mkuu huyu nachokiona tutaachana tu kwasababu ishamuhubiri sana nambaya zaidi napomuhubiri ananijibu kunyaWew unawajua wanawake vizuri aisee...!!
Kwanza kudate na mwanamke ni kitu kimoja na Kuishi nae ni kituu Kingine kabisaaa wanawake wengi wana tabia ambazo huzificha wakati wa date ndo maana mnaweza kuwa wachumba miaka 10 lakini mkifunga ndoa mkaishi pamoja mkashindwa kuvumiliana hata miezi 6 ndani sababu ya EGO NA MANENO.
Pole sana mkuu lakini hapa huyu mwanamke inaonekana uvivu ni tabia yake na Uchafu pia so either umvumilie au Umpige chini maana ukishamuoa labda uweke beki tatu ila otherwise utaishi nyumba kama jalala.
kumbe hata huo upole utakuwa wa kuigiza tu anakujibu kunya kabisa kabisa ile au kawaidaMkuu huyu nachokiona tutaachana tu kwasababu ishamuhubiri sana nambaya zaidi napomuhubiri ananijibu kunya
Mimi pia sijijui nipoje yaani nikikwazana namwanamke wangu hata kama ninanyege basi zinaruka kwahiyo nashindwa hata kufurahia maisha yaunyumba
Ndoa za sasa hivi zinachangamoto sana. Kidume unapambana family iishi vizuri lakini huku home kuanzia asubuhi hadi jioni mtu yupo kwenye TV. Unarudi umechoka anataka kukupigisha story zisizo na kichwa wala miguu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama unampenda kubaliana na mapungufu yake. Chukulia hicho ni kilema chake. Change Mindset yako kuwa vitu flani haviwezi hivyo komaa navyo mwenyewe.Namuonea huruma sana kumuacha kwakitu ambacho mimi binafsi naona akiamua kubadilika itawezekana