Mzazi mwenzangu wangu mvivu

Mi nilidhani mzigo huupati kisawasawa, huku niliko makungwi wanawafunda mabinti kwa kuwaambia hata ukiwa hujui kupika ila ukiperform vyema kitandani mumeo atakupikia, atakuoshea vyombo, atadeki , atafua, kwa furaha zote
Si kweli.... Mzigo napata vzr ila sio sababu yayeye kuwa mchafu
 
Piga chini unalialia Nini kaka?

Kwanza una jembe (mtoto) tayari Kama malezi mpeleke kwa bmkubwa (mama yako Kama yupo) huku ukiendelea kumuhudumia taratibu na wewe ukifanya michakato yako bila stress.

Halafu huyo bibie akishapata kazi tu jiandae kisaikolojia!
 
Kuna kaka tunafanya nae kazi aliweka malengo haoi mpaka amalize kujenga nyumba. Alimaliza kujenga nyumba na ilikuwa nzuri safi sana. Tulikwenda kumtembelea akiwa anaumwa. Wote tulibaki tunasema atakaeolewa na yule kaka amepata.

Alitangaza ndoa, tulitoa michango, baada ya harusi tulikwenda kumuona bibi harusi. Kufika nyumba hovyo hovyo hata mwenyewe anajishtukia.

Baada ya uzazi tulikwenda kumuona mtoto, mwenyewe alisema ni mama yake ndiyo anajiongeza kusafisha nyumba mke na huo uzazi ndiyo ikawa sababu.

Lakini ameamua kumpenda na mapungufu yake. Ukimuona nje msafi ndani mh.
Wanawake wa hivyo huwa wanajali sana kuonekana wasafi kimavazi na kujiremba, ukikutana nae unasema mke si ndo huyu , ukimvuta ndan tu unakuta had ukoko wa jana upo ndan, maganda ya nyanya had sitting room
 
Nihatari sana mkuu kama wangu kwanjee aiseee mtoto mzuri anasura yaupole Safi kabisa ila ninayokutana nayo ndani sio mchezo
 
Piga chini unalialia Nini kaka?

Kwanza una jembe (mtoto) tayari Kama malezi mpeleke kwa bmkubwa (mama yako Kama yupo) huku ukiendelea kumuhudumia taratibu na wewe ukifanya michakato yako bila stress.

Halafu huyo bibie akishapata kazi tu jiandae kisaikolojia!
Namimi ndio niliwaza mbali sana hali yakuwa yupo tu nyumbani achangii hata mia ila anataka tuwe tunachomeka net kwazamu je sasa akipata kazi?
 
huyo ndio mke wako ni wajibu wako kumpenda na kumvumilia na ikibidi fix madhaifu yake, piga picha kama ugemuoa kwa ndoa kabla ya kuishi naye kama hivi je ugemuacha....
 
Back
Top Bottom