Mzazi mwenzangu wangu mvivu

Mzazi mwenzangu wangu mvivu

Mi nilidhani mzigo huupati kisawasawa, huku niliko makungwi wanawafunda mabinti kwa kuwaambia hata ukiwa hujui kupika ila ukiperform vyema kitandani mumeo atakupikia, atakuoshea vyombo, atadeki , atafua, kwa furaha zote
Haha outdated trick.
Huyo mwanaume labda kapewa limbwata!
 
Huyo habadiliki hata kwa mtutu wa bunduki. Nilikuwa na situation kama hiyo mbaya zaidi hajui hata kupika. Nikamtafutia mtu amfundishe akagoma, nikamwambia atafute yeye pia akagoma. Mwisho wa siku akanitamkia hawezi kubadilika. Nikamsepesha kwao.
 
Pole.. Kazi za kulea mtoto na kufanya majukumu mengine zinachosha.. Mwambie avumilie ujipange uongeze chumba ili ulete mdada wa kazi.
 
Mleta huyo habadiliki hata kwa mtutu wa bunduki. Nilikuwa na situation kama hiyo mbaya zaidi hajui hata kupika. Nikamtafutia mtu amfundishe akagoma, nikamwambia atafute yeye pia akagoma. Mwisho wa siku akanitamkia hawezi kubadilika. Nikamsepesha kwao.
alikuwa ana umri gani?
 
Hilo jike linaonyesha ni tabia yake tu yupo spoiled sidhan hivo vikao vitasaidia labda ahamue mwenyewe kubadilika
Iko hivii, binti anapotaka kuolewa huwa anawekwa ndani na wanawake watu wazima sana tu anafundishwa juu ya maisha mapya, majukumu na wajibu katika familia anayoenda anzisha.
Sasa wewe umefanya shortcut umemweka ndani kabla, hivyo inaonekana binti hajajiandaa kuyakabili majukumu yake na kama hana uzoefu wa asili wa kutoka kwao lazima iwe changamoto kubwa.
 
Mleta huyo habadiliki hata kwa mtutu wa bunduki. Nilikuwa na situation kama hiyo mbaya zaidi hajui hata kupika. Nikamtafutia mtu amfundishe akagoma, nikamwambia atafute yeye pia akagoma. Mwisho wa siku akanitamkia hawezi kubadilika. Nikamsepesha kwao.
Namuonea huruma sana kumuacha kwakitu ambacho mimi binafsi naona akiamua kubadilika itawezekana
 
Mleta huyo habadiliki hata kwa mtutu wa bunduki. Nilikuwa na situation kama hiyo mbaya zaidi hajui hata kupika. Nikamtafutia mtu amfundishe akagoma, nikamwambia atafute yeye pia akagoma. Mwisho wa siku akanitamkia hawezi kubadilika. Nikamsepesha kwao.
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom