Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Kweli hiki kipengele, Pole sana.
mimi nakupenda hivyo hivyo na ubonge wakonyie ndo mnafanyaga watu wawe insecure na mionekano yao uvivu ni tabia ya mtu wala haihusiani na unene wala wembamba.... maana hata huko mbeya unakomshauri akaoe kwamba ni wachapakazi bado asilimia kubwa ni wanene
Andaa na misosi mitamu mamaNatangulia utanikuta na bag langu chumbani.
Usijali babaaaaAndaa na misosi mitamu mama
Am sorry mum.Mkuu mabonge tumekufanyia nini?
Uvivu uchafu na kutokujua majukumu haisababishwi na ubonge.
Na pia kupitiwa kupo na kukumbushana kwenye mapenzi kupo.
mabaya
😂😂😂afu sijali wala nini
ningekaa nalo nisingelalaBora umeandika.
Pole mkuu hii ni spoiled generation.
Ndo kwanza mmeanza ipo hivyo je mkifikisha watoto watatu na kuwa na nyumba kubwa zaidi!
Wacha niendelee na ubachela wangu tu!
Uzuri wa vibonge huwa hatukai na kitu moyoni.ningekaa nalo nisingelala
Unakaa na mtoto wa watu bila kumuoa kwa kufuata utaratibu afu unaleta upuuzi wa kuleta malalamiko ya kitoto hapa!?Habari zakupotezana ndugu zangu Wana JF wenzangu,
Mwezi wasita mwaka huu mzazi mwenzangu aliniomba aje aishi kwangu maana haileti picha nzurii yeye kuendelea kuishi kwao hali yakuwa anamtoto namda huohuo mimi mzazi mwenzie nipo hajisikii vizuri. Nikaona nikweli alafu ukizingatia anamtoto wangu, nampenda, na nina malengo naye, kwahiyo nikaona nivizuri aje tuishi tu.
Mwanzo mzuri kila mtu akawa anasimamia majukumu yake vyema. Ila nikagundua anaasili yauchafu, vilevile nimvivu sio kidogo.
Akaanza tabia yakuniwekesha net, nikaona sio mbaya ila hali ilipozidi siku moja nikamgomea, alichonijibu kuwa 'kila siku awe anaweka yeye tuu'. Hiyo kauli ilinikera sana ila aliweka tukalala kila mtu nahamsini zake.
Maisha yakaendelea ila kwakusumbuana sana kuhusu usafi wandani. Kwahiyo Amani haipo yakutosha maana akiambiwa kuhusu usafi, kupanga vitu vizuri anakuwa mbogo.
Sasa wiki iliyopita nimetoka zangu katika mizunguko yangu, akaniuliza unakunywa Chai nikamjibu ndio, maana toka aje hapa ishamwambia usiku chai awe anahakikisha inakuwepo kama sio maziwa yaani kati yahivyo viwili. Kumbe mda ananiuliza kuhusu kunywa Chai mda huo Chai hamna kwahiyo alichonijibu kuwa makazi yamemchosha amepika vingi. Kwahiyo akapika chai ila kwashingo upande.
Mda mwingi amekuwa analalamika makazi mengi, wakati tunaishi chumba kimoja na sebule namtoto tunaye mmoja tu! Sasa hizo kazi nyingi anazolalamikia najiuliza zipo wapi? Yaani anajihisi kama vile nimtumwa kufanya majukumu yahapa nyumbani wakati anashinda nyumbani. Nasio kusema ninamaisha mazurii labda ninahemeaga mboga 7 ila mara nyingi huwa nahemea mboga moja naukikuta tunakula mboga mbili ujue hiyo nyingine ilibakia mchana...... Sasa hapo kazi zipo wapi? Kama kufua huwa anafua mara moja kwawiki ila yeye nikaribia siku zote zawiki analalamika kuchoka.
Huyu nimwanamke wangu wakwanza kuishi nae na nilikuwa ninashauku yakuishi nae ila najihisi kukinai kuishi namwanamke. Imefikia hatua hata hisia nae zimekata kutokana navimanenomaneno, namigogoro yahapa napale maana hazipiti siku 3 bila kukwaruzana.
Kutokana natabia zake nimedhamiria/nahitaji kumswaga ila mara nyingi nikitaka kufanya hivyo amekuwa akigoma nakuomba msamaha ila mtaishije maisha yakuombana misamaha kila siku?
Ee Mungu niepushe nahuu msalaba. Nakama hayupo tayari kujirekebisha namuomba Mungu tuachane kwaamani yaani akubali matokeo arudi kwao maana mimi kwaupande wangu ishajipima kuwa siwezi kumvumilia na hizo tabia zake.
RIP Benjamin williamu mkapa.
Unakaa na mtoto wa watu bila kumuoa kwa kufuata utaratibu afu unaleta upuuzi wa kuleta malalamiko ya kitoto hapa!?
Hivi ni kweli wanaume tumebaki wachache Sana eeh! Acha uhuni kamiliadha taratibu za ndoa uoe ndio uwe na haki ya kuongea Tena sio upuuzi huu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tulia wewe kuoa bongoo
Basi acha kulalamika! Nyie ndio mnatuaibisha wanaume![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tulia wewe kuoa bongoo
Atakuwa nimtoto wako mkuu.....makosa niyenu wazazi mlimlea vibayaUnakaa na mtoto wa watu bila kumuoa kwa kufuata utaratibu afu unaleta upuuzi wa kuleta malalamiko ya kitoto hapa!?
Hivi ni kweli wanaume tumebaki wachache Sana eeh! Acha uhuni kamiliadha taratibu za ndoa uoe ndio uwe na haki ya kuongea Tena sio upuuzi huu!
Hapana, wangu hatakuja kufanya huo ujinga!Atakuwa nimtoto wako mkuu.....makosa niyenu wazazi mlimlea vibaya