Mzazi mwenzangu wangu mvivu

Mzazi mwenzangu wangu mvivu

Iko hivii, binti anapotaka kuolewa huwa anawekwa ndani na wanawake watu wazima sana tu anafundishwa juu ya maisha mapya, majukumu na wajibu katika familia anayoenda anzisha.
Sasa wewe umefanya shortcut umemweka ndani kabla, hivyo inaonekana binti hajajiandaa kuyakabili majukumu yake na kama hana uzoefu wa asili wa kutoka kwao lazima iwe changamoto kubwa.
Yale mafundisho ya siku tatu hayawezi kumfundisha binti akajielewa, bali binti hufundishwa kwa wazazi wake , pale majukumu ambayo mama mzazi hawezi mwambia, ila kila kitu afundishwe kwa wazazi wake.

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mimi sikuwa ninajua sana kupanga lakini shemeji yako ni msafi na anapanga vitu vizuri. Nilianza kumuiga na mimi sasa nimezoea. Ingawa sikuwa mchafu.
Kuto panga vitu na uchafu ni vitu 2 tofauti, saa 6 mchana sufuria la ugali wa usiku ulikute mezani
na ukoko wake pichu kenye sofa haaa haaa, uchafu hapana!

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Jamani kumbe bado mdogo....mvumilie tuu akikua ataacha....maana hata ukimuacha ukaenda kutafuta mwingine wa umri huo unaweza kukuta ni mbaya zaidi...kwahiyo mvumilie tuu ni ka phase katapita tuu
Zamani umri huo walikuwa na watoto 3, binti 22 mbona mkubwa kwani mabeki 3 wanakuwa na umri gani!

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Kama vile unaishi mfumo wa babu zako. Siku hizi men wanafanya more nyumbani Na ke wanafanya less sasa we mpaka uwekewe net kila Siku umekuwa king Muswati? Jitathimini pia kabla ya kurusha ngumi hewani Bro
 
Mi labda nikuulize kitu huyo binti mazingira ya kwao yapoje? Yan uliwai kujaribu kufatiria malezi yake yalikuweje? Maana wenda hyo tabia ya uchafu Hajaianzia kwako bali ni asili yake. Na chakuongezea kama utashindwa kumbadir sasa jua mkioana ndio hatobadilika kabsaaaa
Habari zakupotezana ndugu zangu Wana JF wenzangu,

Mwezi wasita mwaka huu mzazi mwenzangu aliniomba aje aishi kwangu maana haileti picha nzurii yeye kuendelea kuishi kwao hali yakuwa anamtoto namda huohuo mimi mzazi mwenzie nipo hajisikii vizuri. Nikaona nikweli alafu ukizingatia anamtoto wangu, nampenda, na nina malengo naye, kwahiyo nikaona nivizuri aje tuishi tu.

Mwanzo mzuri kila mtu akawa anasimamia majukumu yake vyema. Ila nikagundua anaasili yauchafu, vilevile nimvivu sio kidogo.

Akaanza tabia yakuniwekesha net, nikaona sio mbaya ila hali ilipozidi siku moja nikamgomea, alichonijibu kuwa 'kila siku awe anaweka yeye tuu'. Hiyo kauli ilinikera sana ila aliweka tukalala kila mtu nahamsini zake.

Maisha yakaendelea ila kwakusumbuana sana kuhusu usafi wandani. Kwahiyo Amani haipo yakutosha maana akiambiwa kuhusu usafi, kupanga vitu vizuri anakuwa mbogo.

Sasa wiki iliyopita nimetoka zangu katika mizunguko yangu, akaniuliza unakunywa Chai nikamjibu ndio, maana toka aje hapa ishamwambia usiku chai awe anahakikisha inakuwepo kama sio maziwa yaani kati yahivyo viwili. Kumbe mda ananiuliza kuhusu kunywa Chai mda huo Chai hamna kwahiyo alichonijibu kuwa makazi yamemchosha amepika vingi. Kwahiyo akapika chai ila kwashingo upande.

Mda mwingi amekuwa analalamika makazi mengi, wakati tunaishi chumba kimoja na sebule namtoto tunaye mmoja tu! Sasa hizo kazi nyingi anazolalamikia najiuliza zipo wapi? Yaani anajihisi kama vile nimtumwa kufanya majukumu yahapa nyumbani wakati anashinda nyumbani. Nasio kusema ninamaisha mazurii labda ninahemeaga mboga 7 ila mara nyingi huwa nahemea mboga moja naukikuta tunakula mboga mbili ujue hiyo nyingine ilibakia mchana...... Sasa hapo kazi zipo wapi? Kama kufua huwa anafua mara moja kwawiki ila yeye nikaribia siku zote zawiki analalamika kuchoka.

Huyu nimwanamke wangu wakwanza kuishi nae na nilikuwa ninashauku yakuishi nae ila najihisi kukinai kuishi namwanamke. Imefikia hatua hata hisia nae zimekata kutokana navimanenomaneno, namigogoro yahapa napale maana hazipiti siku 3 bila kukwaruzana.

Kutokana natabia zake nimedhamiria/nahitaji kumswaga ila mara nyingi nikitaka kufanya hivyo amekuwa akigoma nakuomba msamaha ila mtaishije maisha yakuombana misamaha kila siku?

Ee Mungu niepushe nahuu msalaba. Nakama hayupo tayari kujirekebisha namuomba Mungu tuachane kwaamani yaani akubali matokeo arudi kwao maana mimi kwaupande wangu ishajipima kuwa siwezi kumvumilia na hizo tabia zake.

RIP Benjamin williamu mkapa.
 
Unajua nn mkuu
Ukiwa alone rahisi kujipanhilia mwenyewe,mkishakua wengi nalo tatizo,kikubwa apo usijari muache tu,maana kunakoelekea Ni kununiana mazima
 
Pole sana mkuu,hilo kweli tatizo.
Mwanamke akishindwa usafi wake ama wa ndani ya nyumba hata kama ana uzur wa malaika ataolewa kwao tu.
 
Habari zakupotezana ndugu zangu Wana JF wenzangu,

Mwezi wasita mwaka huu mzazi mwenzangu aliniomba aje aishi kwangu maana haileti picha nzurii yeye kuendelea kuishi kwao hali yakuwa anamtoto namda huohuo mimi mzazi mwenzie nipo hajisikii vizuri. Nikaona nikweli alafu ukizingatia anamtoto wangu, nampenda, na nina malengo naye, kwahiyo nikaona nivizuri aje tuishi tu.

Mwanzo mzuri kila mtu akawa anasimamia majukumu yake vyema. Ila nikagundua anaasili yauchafu, vilevile nimvivu sio kidogo.

Akaanza tabia yakuniwekesha net, nikaona sio mbaya ila hali ilipozidi siku moja nikamgomea, alichonijibu kuwa 'kila siku awe anaweka yeye tuu'. Hiyo kauli ilinikera sana ila aliweka tukalala kila mtu nahamsini zake.

Maisha yakaendelea ila kwakusumbuana sana kuhusu usafi wandani. Kwahiyo Amani haipo yakutosha maana akiambiwa kuhusu usafi, kupanga vitu vizuri anakuwa mbogo.

Sasa wiki iliyopita nimetoka zangu katika mizunguko yangu, akaniuliza unakunywa Chai nikamjibu ndio, maana toka aje hapa ishamwambia usiku chai awe anahakikisha inakuwepo kama sio maziwa yaani kati yahivyo viwili. Kumbe mda ananiuliza kuhusu kunywa Chai mda huo Chai hamna kwahiyo alichonijibu kuwa makazi yamemchosha amepika vingi. Kwahiyo akapika chai ila kwashingo upande.

Mda mwingi amekuwa analalamika makazi mengi, wakati tunaishi chumba kimoja na sebule namtoto tunaye mmoja tu! Sasa hizo kazi nyingi anazolalamikia najiuliza zipo wapi? Yaani anajihisi kama vile nimtumwa kufanya majukumu yahapa nyumbani wakati anashinda nyumbani. Nasio kusema ninamaisha mazurii labda ninahemeaga mboga 7 ila mara nyingi huwa nahemea mboga moja naukikuta tunakula mboga mbili ujue hiyo nyingine ilibakia mchana...... Sasa hapo kazi zipo wapi? Kama kufua huwa anafua mara moja kwawiki ila yeye nikaribia siku zote zawiki analalamika kuchoka.

Huyu nimwanamke wangu wakwanza kuishi nae na nilikuwa ninashauku yakuishi nae ila najihisi kukinai kuishi namwanamke. Imefikia hatua hata hisia nae zimekata kutokana navimanenomaneno, namigogoro yahapa napale maana hazipiti siku 3 bila kukwaruzana.

Kutokana natabia zake nimedhamiria/nahitaji kumswaga ila mara nyingi nikitaka kufanya hivyo amekuwa akigoma nakuomba msamaha ila mtaishije maisha yakuombana misamaha kila siku?

Ee Mungu niepushe nahuu msalaba. Nakama hayupo tayari kujirekebisha namuomba Mungu tuachane kwaamani yaani akubali matokeo arudi kwao maana mimi kwaupande wangu ishajipima kuwa siwezi kumvumilia na hizo tabia zake.

RIP Benjamin williamu mkapa.
Mlango wa 7 huo
 
Back
Top Bottom