Mzazi mwenzangu wangu mvivu

Mzazi mwenzangu wangu mvivu

Uchafu wa mazingira ni jipu.
kuishi na mtu mchafu wa mazingira kugumu!! Na wewe baba hukua unakaa kaa nae hata siku1 au 2 kabla? ungeshayaona hayo mapungufu

Unaona sasa unachomekeshwa neti[emoji23] vyombo vya jana vinalala Mpaka nyumba inakua na kaharufu fulani hivi ka ajabu ajabu
 
Uzi wa tatu huu ndani ya wiki moja wakilalamikiwa wadada tabia za uchafu, uvivu na kutokuwa waaminifu.
Huyo bila shaka ni Bonge, mademu mabonge ni wavivu sana.
Kaoe Mbeya wadada wachapakazi. Wife wangu kila nikimwambia nikuletee house girl hataki anasema kama nina pesa nyingi nimlipe yeye. Anapiga majukumu yote kila siku bila malalamiko.
Huyo huenda utoto unamsumbua au alilelewa vibaya kwao.
Mvumilie
hahahaaa!!! mademu vibonge ni wavivu atafute wanyakyusa au sio
 
Uchafu wa mazingira ni jipu.
kuishi na mtu mchafu wa mazingira kugumu!! Na wewe baba hukua unakaa kaa nae hata siku1 au 2 kabla? ungeshayaona hayo mapungufu

Unaona sasa unachomekeshwa neti[emoji23] vyombo vya jana vinalala Mpaka nyumba inakua na kaharufu fulani hivi ka ajabu ajabu
Eti anadai kazi zinamzidia
 
Duuh huyo kazidi uvivu kwa chumba na sebule ni rahisi sana kucontrol mazingira yake yakawa masafi.

Usimfukuze zidi kumuelemisha.
Ndio mkuu nihatari sana yaani namuhesabia mda ndio msema kweli
 
Habari zakupotezana ndugu zangu Wana jf wenzangu,

Mwezi wasita mwaka huu mzazi mwenzangu aliniomba aje aishi kwangu maana haileti picha nzurii yeye kuendelea kuishi kwao hali yakuwa anamtoto namda huohuo mimi mzazi mwenzie nipo hajisikii vizuri. Nikaona nikweli alafu ukizingatia anamtoto wangu, nampenda, naninamalengo nae.,kwahiyo nikaona nivizuri aje tuishi tu.

Mwanzo mzuri kila mtu akawa anasimamia majukumu yake vyema. Ila nikagundua anaasili yauchafu, vilevile nimvivu sio kidogo.

Akaanza tabia yakuniwekesha net, nikaona sio mbaya ila hali ilipozidi siku moja nikamgomea, alichonijibu kuwa 'kila siku awe anaweka yeye tuu'. Hiyo kauli ilinikera sana ila aliweka tukalala kila mtu nahamsini zake.

Maisha yakaendelea ila kwakusumbuana sana kuhusu usafi wandani. Kwahiyo Amani haipo yakutosha maana akiambiwa kuhusu usafi, kupanga vitu vizuri anakuwa mbogo.

Sasa wiki iliyopita nimetoka zangu katika mizunguko yangu, akaniuliza unakunywa Chai nikamjibu ndio, maana toka aje hapa ishamwambia usiku chai awe anahakikisha inakuwepo kama sio maziwa yaani kati yahivyo viwili. Kumbe mda ananiuliza kuhusu kunywa Chai mda huo Chai hamna kwahiyo alichonijibu kuwa makazi yamemchosha amepika vingi. Kwahiyo akapika chai ila kwashingo upande.

Mda mwingi amekuwa analalamika makazi mengi, wakati tunaishi chumba kimoja na sebule namtoto tunaye mmoja tu! Sasa hizo kazi nyingi anazolalamikia najiuliza zipo wapi? Yaani anajihisi kama vile nimtumwa kufanya majukumu yahapa nyumbani wakati anashinda nyumbani. Nasio kusema ninamaisha mazurii labda ninahemeaga mboga 7 ila mara nyingi huwa nahemea mboga moja naukikuta tunakula mboga mbili ujue hiyo nyingine ilibakia mchana...... Sasa hapo kazi zipo wapi? Kama kufua huwa anafua mara moja kwawiki ila yeye nikaribia siku zote zawiki analalamika kuchoka.

Huyu nimwanamke wangu wakwanza kuishi nae na nilikuwa ninashauku yakuishi nae ila najihisi kukinai kuishi namwanamke. Imefikia hatua hata hisia nae zimekata kutokana navimanenomaneno, namigogoro yahapa napale maana hazipiti siku 3 bila kukwaruzana.

Kutokana natabia zake nimedhamiria/nahitaji kumswaga ila mara nyingi nikitaka kufanya hivyo amekuwa akigoma nakuomba msamaha ila mtaishije maisha yakuombana misamaha kila siku?

Ee Mungu niepushe nahuu msalaba. Nakama hayupo tayari kujirekebisha namuomba Mungu tuachane kwaamani yaani akubali matokeo arudi kwao maana mimi kwaupande wangu ishajipima kuwa siwezi kumvumilia na hizo tabia zake.

RIP Benjamin williamu mkapa.
Na wasiwasi kama huyo mkeo hana ndugu yake humu wa kuitwa Rebeca 83 kumradhi lakini. Nahisi kama wanashahibiana itikadi
 
Mwanamke mvivu ni mzigo wa mbigiri! Hafai kwa kichwani wala mgongoni..Pole sana mkuu maamuzi yako mkononi mwako kwa jinsi anavyokufanya ujisikie.

Aheri mke awe na uzito wa kujishughulisha kiuchumi ashinde home ila sio uzito wa kutekeleza majukumu ya asili ya mwanamke kama mama na mlezi wa familia.
 
Nihatari mkuu ananikata stimu sana
 
Eti anadai kazi zinamzidia
kwao alikua hafanyi? au umeoa wale ambao dada wa kazi anafanya kila kitu
Halafu kazi bila management lazima zikuzidie
-kuna mtu anaishi kwenye bangaloo la kutosha na anafanya kila kitu na anapumzika!
-pia yupo mtu anaishi chumba kimoja hamna anachofanya kutwa nzima.
Mtu yoyote msafi ujue ana management makini ya maisha yake
 
Huyu mtoto nahisi boarding school ndio zimemuathiri maana toka primary amesoma boarding
 
Back
Top Bottom