secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,612
Mwambie rafikiyo hilo ni pepa gumu..
sisi wazee wa kudesa tunasubiri wengine wajibu sisi tukopi
sisi wazee wa kudesa tunasubiri wengine wajibu sisi tukopi
Angekuwa mtoto mdogo, asingepata ujauzito. Au mnasemaje mabaharia.
Mimi naona wazazi wangejikita zaidi katika kuwachunga watoto zao, ili wasije kufikia huko.
Kuliko kusubiri kuja kuwapima mimba.
Na hii ndio tahadhari nzuri, maana mimba hata kama mtoto ataificha itajulikana tu, labda aitoe.
kama ni very young asinge shika mimba, ameshika kwa sababu she is matured enough,usimshauri atende dhambi ya pili ya mauaji kwani alisha zini asubiri tu kujifungua
yuko mdada alipata mimba akiwa na miaka 14 mama yake akasema siwezi kumtoa mimba mtoto akazaa mtoto wa kiume kisha akarudi shule. hivi sasa huyo mtoto aliezaliwa alimaliza chuo mwaka jana na mama yake ni mwalimu maisha yanaenda.
Jf ina watu wenye uelewa mpana, hahaha binti hajaambiwa kama ana mimba, tena wao wamejua kuwa ina wiki 6. Binti kutojijua ninaweza nikaelewa lakini najaribu kutafakari wao wamejuaje mimba ina umri huo.Binti hajaambiwa?Mlimpaje bila yeye kujua?Mlichukuaje mkojo wake?
Why asiulizwe? Apate mimba na muogope kumuuliza?..hizi story za kutunga?