Mzazi mpime mwanao mimba kabla hajaenda shule

ila mimi nilikua nawaza tofauti kidogo
naona watoto wafundishwe jinsi ya kufanya ngono salama
hili la kukataza wasifanye kabisa ni kuwaumiza kihisia kwasababu mwili/homones upo tayari kwa hilo
ndo maana mimba hapati mtoto wa miaka 5/9/10
so i propose the motion kuwa ngono salama ndio ihimizwe la sivyo wakiume hugeukia chaputa mapka wanaharibikiwa na wanawake/ watoto wa kike kusagana na mambo mengine kama hayo thank you
 
Wazazi wenzangu nawasihi sana shule zikifunguliwa jitahidi umpime mimba mwanao unaweza mpeleka hospital.

Watoto wa siku hizi hawaaminiki hata kidogo

Ni vema uchukue tahadhari mapema kabla ya hatari

Ikitokea ana mimba ni rahisi kuchukua hatua kabla haijagundulika shuleni

Sent using Jamii Forums mobile app
hatua gani?
 
Mtafute mkwe wako tu ukiaamua kumfunga ni wewe ukimuacha pia ni wewe..
Mwanao atazaa akikaa vizuri utampeleka elimu ya watu wazima huko kama mood ya kusoma atakuwa nayo.. nakuhusia tukio hilo usije kumnyanyasa kisaikolojia utaharibu future yake..

Mimi yangu hayo subiri wale wa kutoa watakuja kusema yao pia!,ila kaa ukijua kwenye msafara wa mamba na kenge wamo..
 
Back
Top Bottom