Mzazi maneno haya unasema mara ngapi kwa siku?

Lakini chakushangaza siku mtoto akitulia kabisa na asiyafanye hayo unayo mkanya kilansiku....
Hapo ndipo kijasho kitakapo kutoka tena mzazi kwa kujiuliza kulikoni, mboma huyu mototo leo amepowa hivi..!!??
 
Aah tumeshatoka huko siku nyingi sana.. Wengine runasubiri kuoza na kuozesha
Usiende huko utaumia, usishike hiki utaharibu, usipande huko utaumia,weeee acha hiyo, Nilijua tu kimya hiki kuna kitu anaharibu huyu.
Mimi mpaka kichwa kinaniuma sijui wenzangu huko hali ikoje.
 
Lakini chakushangaza siku mtoto akitulia kabisa na asiyafanye hayo unayo mkanya kilansiku....
Hapo ndipo kijasho kitakapo kutoka tena mzazi kwa kujiuliza kulikoni, mboma huyu mototo leo amepowa hivi..!!??
Ni lazima utajua anaumwa tu hapo hospitali itamhusu.
 
Mimi: Ushakua mkubwa uanze shule.

Yeye: Anainua mabega juu

Mimi: Nilikukataza kuinua mabega juu. Inabidi uanze shule.

Yeye: Mi sitaki

Mimi: Unataka usiwe na akili

Yeye: Sitaki twende wote
 
Wengine tulishatoka huko tupo kwenye ushauri wa maisha maana ukiongea kwa ukali hata akuelewi anaona mmeshalingana
Usiende huko utaumia, usishike hiki utaharibu, usipande huko utaumia,weeee acha hiyo, Nilijua tu kimya hiki kuna kitu anaharibu huyu.
Mimi mpaka kichwa kinaniuma sijui wenzangu huko hali ikoje.
 
Kwamba kakuona nawe huna akili, nendeni wote shule.... usiku utapokwisha.
Hapana, am some sort of a heroic figure kwake, so kwenda na mimi ni ili ajione yupo secure, I think. Ila hiki ulichoandika ingawa ni cha kijinga kimenifanya nifikirie kidogo.

Una mtoto?
 
Hapana, am some sort of a heroic figure kwake, so kwenda na mimi ni ili ajione yupo secure, I think. Ila hiki ulichoandika ingawa ni cha kijinga kimenifanya nifikirie kidogo.

Una mtoto?

Kama katika hiki umekiita cha kijinga ila bado umeambulia cha kujifunza, usishangae kuona mwanao ana akili sawa na wewe au zaidi yako.... shuleni unampeleka akaoshwe ubongo tu (formality) na wala sio kupata ‘akili’.

Nina watoto wakubwa, huenda ni kama wewe au pungufu kidogo.

Usiku utapokwisha
 
Back
Top Bottom