Mzazi maneno haya unasema mara ngapi kwa siku?

Mzazi maneno haya unasema mara ngapi kwa siku?

Usiende huko utaumia, usishike hiki utaharibu, usipande huko utaumia,weeee acha hiyo, Nilijua tu kimya hiki kuna kitu anaharibu huyu.
Mimi mpaka kichwa kinaniuma sijui wenzangu huko hali ikoje.

Mara nyingi tu. Je yana madhara gani?
 
Kwenye topic za familia mshana uko vzr sana ...niozeshe hyo bintiyo wa kipare iwe kama kukuenzi kwa hekima yako iliyotukuka hapa jf

NB:kama ww uko na akili hvyo nadhani na yeye atanizalia ma genuoius
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom