Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 690
- 1,210
Anaongea tuu Kuna wanafunz ukimuulza hata why migrant labourer they prefferd anakutazama ni huzuni jmn.... Kweny hesabuMleta mada hakushirikisha ubongo wake vyema ,unakuta mtoto shule ya msingi kasoma hizi za kayumba sekondari kata akikaa vibaya bila backup atapata tabu sana hapo ndipo unakuja umuhimu wa kumtafutia chimbo la kupata kumuweka sawa ila muhimu kuangalia sehemu na mwalimu bora katika hilo na sio kusema hakuna umuhimu kabisa wa hilo jambo.