Mzawa wa Zanzibar ni nani?

Mzawa wa Zanzibar ni nani?

there is a big structural problem.

Remember all black in zanzibar were watwanas and all arabs were waungwanas.
Only waungwana men were allowed to marry watwanas women the opposite was not allowed.
Meaning no mtwana man married muungwana woman.
All mixed race of mtwana and muungwana in zanzibar is between muungwana (father) and mtwana ( mother)
rarely there is mixed race between mtwana (father) and muungwana ( mother).

Who will allow you to piga those long face and slender arab girls with your black mpini?

This is why all people with here and there arab touches tend to say they are not weusi they are arabs, meaning the generation on the side of their fathers were arab and their moms were black of zanzibar.

The thing they dont know is, if they happen to go back to arabia and claim they are arabs they will be amazed by the reaction of their uncles who will claim that once you mix your blood with mtwana you are not an arab any more.

Good luck

duh.......kweli? Ama umetunga
 
Tafuteni kitabu cha historiya ya zanzibar kilichopo mactaba kuu ya uwingereza na pia tazameni sensa ya watu wa zanzibar ya 1953 hii ilikiwa ina takwimu hizii wasirazi au al shirazi 56%waarabu40% wahidi 7% waafrica wakuja ni 2% wahindi 3% wachina 0.8 wazungu 0.3 pia alama za mwanzo za watu walofika zanzibar ni wa pashia na zipoi kizimkaazi na tumbatu je watamnganyika waoo ni mitume wau wameshushwa kama chakula cha wana izrail je waingereza wana asili ya wapii hii ni hoja ya kijinga watuwache tupumuweeeeeeeee
 
kwa hio nyie sio waafrika?
 
Hii inamaanisha Waarabu walikuwepo mwanzo kwenye visiwa hivyo kabla ya Watanganyika?
waarabu walikuja baadae kumsaidia mweusi kumfukuza mreno,lakini asili ya zenji ni mndengereko na makabila mengine ya bara
 
Zanzibar ni kisiwa , kawaida ya visiwa vinakuwa na jamii mchanganyiko (cosmopolitan) Wapo wazanzibari wenye asili ya Afrika , bara Arabu, ghuba ya uajemi (Persian Gulf) hawa huitwa washirazi, wapo wahindi, wapo Magoa n.k.
Na hawa wote ni wazanzibari wenye haki sawa sawa. kwa mfano waziri Haroun Suleiman ni mzanzibari mwenye asili kihindi mifano kama hiyo ipo mingin Zanzibar.
 
Hivi nida katika vitambulisho vya uraia hili wanalifahamu.?
 
Bila kuongea maneno mengi, mtu asilia wa zanzibar ni mwafrika mweusi. Aliishi pale kabla hata ya utumwa. Walikuwa na miji yao na tawala zao kama utawala wa Mwinyi Mkuu ambaye ndiye aliyekutwa mji mkongwe (Stone Town kama ilivyo maarufu leo).
Hawa waarabu wanaopigapiga kelele ni wanyanganyi tu, wemeendesha biashara ya utumwa na kueneza imani ya uislamu ambayo ilienezwa kwa nguvu. Wame wakandamiza waafrika weusi kwa miaka mingi, kwa kuwauza kama watumwa na kuwatumikisha katika mashamba na shughuli zao nyingi kwa kuwalipa ujira mdogo. Faida iliyopatikana ilitumika kujenga majumba ya kifahari yanayoonekana leo hii Mji mkongwe ambayo walikuwa wakiishi wao na wahindi wafanya biashara mpaka mwaka 1964 waafrika walipochoka na kufanya mapinduzi wakiongozwa na Marehemu karume. Sasa wanataka kurudi tena kupitia kwa wajomba zao, na ndugu zao waliobaki huko Pemba sana sana, japo na unguja wapo kidogo.
Maelezo ni marefu sana kwa kweli, lakini nitakwenda moja kwa moja katika point ili nifikishe ujumbe bila kuchosha msomaji.
Kwanza tuanze kwa maana ya neno Zanzibar.
Zanzibar ni muunganiko ma maneno mawili ya kiarabu Zangi + bar (Zangibar) Zangi = mtu mweusi, na bar = pwani. Kwahiyo waarabu walipofika pwani hiyo ya Afrika mashariki waliwakuta watu weusi wana kaa pale, na wakapaita pwani ya watu weusi. Nadhani jibu mmeshalipata.
Waarabu waliwakuta wareno Zanzibar, na makanisa yalikuwepo pia. Ngome kongwe maarufu sana leo hii, ilijengwa na Wareno. Na katika hiyo ngome kongwe kulikuwa na kanisa ambalo lilibomolewa na waarabu.
Kabla sijaondoka kwenye point, nadhani nimesha jibu swali linalouliza mzawa wa Zanzibar ni nani? Kama mtataka niendelee kumwaga historia hii tamu zaidi niambieni.

Ebu endelea mwenzangu history yako inavutia
 
Mkuu hili ni darasa tamu sana, hebu endelea kuachia nondo tuweke sawa historia ya visiwa vyetu bana.
 
Tafuteni kitabu cha historiya ya zanzibar kilichopo mactaba kuu ya uwingereza na pia tazameni sensa ya watu wa zanzibar ya 1953 hii ilikiwa ina takwimu hizii wasirazi au al shirazi 56%waarabu40% wahidi 7% waafrica wakuja ni 2% wahindi 3% wachina 0.8 wazungu 0.3 pia alama za mwanzo za watu walofika zanzibar ni wa pashia na zipoi kizimkaazi na tumbatu je watamnganyika waoo ni mitume wau wameshushwa kama chakula cha wana izrail je waingereza wana asili ya wapii hii ni hoja ya kijinga watuwache tupumuweeeeeeeee

Kumbe historia ya Zangibar inaanzia mwaka 1953!
 
Syrah or Shiraz is a dark-skinned grape grown throughout the world and used primarily to produce powerful red wines. Whether sold as Syrah or Shiraz, these wines enjoy great popularity.
Syrah is used as a varietal and is also blended. Following several years of strong planting, Syrah was estimated in 2004 to be the world's 7th most grown grape at 142,600 hectares (352,000 acres).[SUP][1]
------------------------------------------------------------------------------

[/SUP]
Historia inajionesha ya kwamba kiasi cha miaka 20,000 kumekuwepo makazi ya bidadamu katika visiwa vya Zanzibar. Visiwa hivi ni sehemu ya kumbukumbu ya kihistoria ya ulimwengu wakati waajemi wafanyabiashara waliigundua na kufanya ndio makao makuu kwa safari kati ya Mashariki ya Kati, India, Na Afrika.
Katika karne ya mwanzo AD Zanzibar pamoja na mwambao wa Afrika ya Mashariki ulikua katika ufalme wa Saba,Katika kipindi cha karne ya 3 na 4AD,Wabantu walianza biashara na Waarabu waliokuja Afrika ya Mashariki. Katika karne ya 7 AD,waarabu walikuja Zanzibar kibiashara pia kusambaza Dini ya Kiislam,Waarabu ndio waliyoipa jina ZANZIBAR kutokana na neno la Kiarabu ZINJI BAR yaani sehemu ya watu weusi.
Lugha ya kiswahili imeanza kutumika kiasi cha karne ya 13 AD,Lugha ya kiswahili ilitokana na kuchanganyika lugha ya kiarabu na lugha za kiafrika.
 
Early Arab settlers
The 7th century ad saw the rise of Islam in Arabia. At the same time wars in this area, and subsequent unrest in Persia, caused a small number of people from these regions to escape to the east African coast, where they settled permanently, bringing the new Islamic religion with them.

There are several accounts of emigrations from Arabia to east Africa. (The history of this period is largely based on stories handed down by word of mouth through generations, which are difficult to separate from myth and legend.) One story tells of two Arab chiefs from Oman who arrived in east Africa with their families around the end of the 7th century, and settled on the island of Pate, near Lamu. Another story tells of an emigration from Shiraz, in Persia, some time between the 8th and 10th centuries. The Sultan of Shiraz and his six sons migrated with their followers in seven boats. One of the sons stopped at Pemba, while others settled in Mombasa and Kilwa. The 9th-century Arab tale of Sinbad the Sailor, one of the stories in The Arabian Nights, was most probably inspired by accounts of journeys by Arab sailors to east Africa and southeast Asia.
 
Bila kuongea maneno mengi, mtu asilia wa zanzibar ni mwafrika mweusi. Aliishi pale kabla hata ya utumwa. Walikuwa na miji yao na tawala zao kama utawala wa Mwinyi Mkuu ambaye ndiye aliyekutwa mji mkongwe (Stone Town kama ilivyo maarufu leo).
Hawa waarabu wanaopigapiga kelele ni wanyanganyi tu, wemeendesha biashara ya utumwa na kueneza imani ya uislamu ambayo ilienezwa kwa nguvu. Wame wakandamiza waafrika weusi kwa miaka mingi, kwa kuwauza kama watumwa na kuwatumikisha katika mashamba na shughuli zao nyingi kwa kuwalipa ujira mdogo. Faida iliyopatikana ilitumika kujenga majumba ya kifahari yanayoonekana leo hii Mji mkongwe ambayo walikuwa wakiishi wao na wahindi wafanya biashara mpaka mwaka 1964 waafrika walipochoka na kufanya mapinduzi wakiongozwa na Marehemu karume. Sasa wanataka kurudi tena kupitia kwa wajomba zao, na ndugu zao waliobaki huko Pemba sana sana, japo na unguja wapo kidogo.
Maelezo ni marefu sana kwa kweli, lakini nitakwenda moja kwa moja katika point ili nifikishe ujumbe bila kuchosha msomaji.
Kwanza tuanze kwa maana ya neno Zanzibar.
Zanzibar ni muunganiko ma maneno mawili ya kiarabu Zangi + bar (Zangibar) Zangi = mtu mweusi, na bar = pwani. Kwahiyo waarabu walipofika pwani hiyo ya Afrika mashariki waliwakuta watu weusi wana kaa pale, na wakapaita pwani ya watu weusi. Nadhani jibu mmeshalipata.
Waarabu waliwakuta wareno Zanzibar, na makanisa yalikuwepo pia. Ngome kongwe maarufu sana leo hii, ilijengwa na Wareno. Na katika hiyo ngome kongwe kulikuwa na kanisa ambalo lilibomolewa na waarabu.
Kabla sijaondoka kwenye point, nadhani nimesha jibu swali linalouliza mzawa wa Zanzibar ni nani? Kama mtataka niendelee kumwaga historia hii tamu zaidi niambieni.
aisee naona hapa umemaliza kila kitu, ngona ni mpeleke JK aifanyie kazi hii facts, maana naona waarabu wanataka kukitumia hiki kisiwa kwa ugaidi wao, na pili wakipata mafuta waongeze kuwatumikisha weusi, wao miguu juu, wana kula tende na haluwa
 
1953???historia atakuwa haijui na sidhani hata kama drsn alihudhuria na kama alihudhuria basi "he was one of da tabula rasa and probably he got nothing at da end". ninayo mashaka.Na kama suala ni kupumua basi muwaachie weusi na si vinginevyo.acheni ufinyu wenu huo wa mawazo uliojaa ubaguzi,ukatili na ushetani wa akili.mungu ibariki tz.
 
Tafuteni kitabu cha historiya ya zanzibar kilichopo mactaba kuu ya uwingereza na pia tazameni sensa ya watu wa zanzibar ya 1953 hii ilikiwa ina takwimu hizii wasirazi au al shirazi 56%waarabu40% wahidi 7% waafrica wakuja ni 2% wahindi 3% wachina 0.8 wazungu 0.3 pia alama za mwanzo za watu walofika zanzibar ni wa pashia na zipoi kizimkaazi na tumbatu je watamnganyika waoo ni mitume wau wameshushwa kama chakula cha wana izrail je waingereza wana asili ya wapii hii ni hoja ya kijinga watuwache tupumuweeeeeeeee

56+40+7+2+3+0.8+0.3 = 109.1
Jaribu tena, au rudi darasa la pili.
 
Kumbe historia ya Zangibar inaanzia mwaka 1953!

hahaa... WORD!!! huyo nahisi ni mgeni aka mwarabu... au anafikiri volcano ilotengeneza hicho kisiwa ilitokea 1952 na 53 ndugu na wazazi wake wakahamia tokea uarabuni!!!!
 
Zanzibar haina mwenyewe,wote ni wa kuhamia.Wenye asili ya zanzibar ni wale nyani wa pale (du nimesahahu jina la ile hifadhi kama unaenda Makunduchi sijui inaitwa Jonzi)kuna nyani ambao hawapatikani sehemu yoyote duniani.Waliopo zanzibar ni wahamiaji tu kutoka nchi mbalimbali,Zanzibar ni kama Marekani utakuta kila aina ya watu kutoka nchi mbalimbali,kuna wachina wazanzibari,waturuki wazanzibari,wacomoro wazanzibari,maburushi wazanzibari,wanyasa,wanyamwezi,wadigo,waajemi,wajerumani ,wa oman nk.kwa kifupi hakuna mwenye zanzibar bana!! wote ni wahamiaji tu.
 
Zanzibar haina mwenyewe,wote ni wa kuhamia.Wenye asili ya zanzibar ni wale nyani wa pale (du nimesahahu jina la ile hifadhi kama unaenda Makunduchi sijui inaitwa Jonzi)kuna nyani ambao hawapatikani sehemu yoyote duniani...

Jozani
 
Back
Top Bottom