Mshimba1971
Member
- Dec 13, 2021
- 75
- 66
Nauza mzani wa digital aina ya camry unauwezo wa kupima kg 40. Unaonesha bei na uzito kwenye screen. Bei ni tzs 95,000 tu (dukani bei 150,000). Unatumia umeme na unatuza charge kwa mwezi 1. Piga 0754 34 36 42
Hiyo chini kidogo mkuu. Ni mpya kabisa. umetumika 2 weeks tu.60k nije mbiombio