My X.nihurumie

My X.nihurumie

hahahaha ni kwa mujibu wa katiba ya mmu lol

umemuuliza babu Asprin kama anaifahamu hii..maana sisi tunayo sheria. Na kwa sheria hii imekupasa umtii babu na mwenyekiti wake....
 
Last edited by a moderator:
umemuuliza babu Asprin kama anaifahamu hii..maana sisi tunayo sheria. Na kwa sheria hii imekupasa umtii babu na mwenyekiti wake....

Na hili ndilo neno la mwenyekiti....

Sifa kwako ee Kaizer
 
Last edited by a moderator:
eti my x nihurumie,dah! Nyama inasubiri huruma ya fisi.

Umesahau siku chache zilopita alitupa uzi mmoja jinsi ya kufanya michepuko bila ya kukamatwa,ningekuwa niko kwenye

desktop ningeuvuta,mwenzetu kazoea.
 
Mie mzima. hofu na mashaka kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu. Kila nikikuwanza navurumuka kama tornado.

Anakaba huyoo...hataki hata niingie humu. Anaogopa kuibiwaa!!
Vp lakin...za kitambo?
 
yani unashindwa kuiheshimu ndoa yako? wewe ni kicheche in nature
 
Sielewi nini kinaendea.nimekua naye kutwa nzima jana na leo nimedamka kwenda kumuaga ubungo.hategemei rudi karibuni.anaishi mbeya.hatukupasha kiporo lakini cjui nini anawaza nami cjui nini nawaza.au upweke kisa mume kasafiri.ctaki upepo mbaya upite.naomba nikimuaga nirudi in ma sense.usiku wote nilikua naangalia saa asbh ifike nije ubungo. poleni kwa mambo yangu binafsi ila nishaurini nijinasue

Tumechoka kusoma mada za kipuuzi kama hizi. Kama huna mada ya maana, nyamaza kimya, tulia kabisa, milele na hata milele.
 
Hawa ndio wale wale wanaolewa kwa sababu muda umefika na nyumbani wanauliza ataolewa lini huku huyo ampendae hayupo tayari kuoa
 
Wanawake wa siku hizi ni bola ukaoa punda kuliko hizi mbwa,yani mtu kaolewa bado anatoa mbunye kwa x wake,stupid woman.

Ha ha ha ha ndio maana bora nizaliwe nikae na mwanangu. Kwani mie kuoa na kuacha ni ruksa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom