Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,687
Last edited by a moderator:
Marhabaaaa Bantu lady mkwe wangu...huyu kijana wangu sungura1980 yupo wapi
nipo salama mkuu...nimerudi tena hapa jukwaani kwetu. Nilipamiss sana hapa nyumbani
Nakumbuka nilivyokuwa naiota MMU enhenhe siku hiz hata nisipoingia mwezi sishtuki!
Ila shemeji kote kote bado nakumithi!
Daaaadek af shwaaaain zenu !khaaaaaaaaa enhenhenhe sina hamu!
Do ze needful
wanasema wewe ni bazazi usie na soni
kwangu wewe ni malaika mkombozi
Ni kawaida hasa kama mliachana kama bado mnapendana.....sasa cha kufanya njoo PM nikishauri maana hapa wapo wahafidhina Asprin Bantu lady King'asti na wengineo😱
Hivi sina akili au? Hata sielewi ulichoandika!!Sielewi nini kinaendea.nimekua naye kutwa nzima jana na leo nimedamka kwenda kumuaga ubungo.hategemei rudi karibuni.anaishi mbeya.hatukupasha kiporo lakini cjui nini anawaza nami cjui nini nawaza.au upweke kisa mume kasafiri.ctaki upepo mbaya upite.naomba nikimuaga nirudi in ma sense.usiku wote nilikua naangalia saa asbh ifike nije ubungo. poleni kwa mambo yangu binafsi ila nishaurini nijinasue
We miss neddy malaika wa ivo ni kwa mujib wa katekisimu gani?
Ukiendelea hivi ntakutoa kwenye list ya nyumba ndogo zangu. Utakoma kuwa mchepuko wa vumbi.
haha nipe motisha niongeze bidii nitakuwa nani sasa
utakuwa mchepuko wa vibajaji.