Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,895
- 11,288
Mkuu long time hujaonekana jukwaani, jioni tuwepo pamoja katika thread yetu kupeana mambo yatakavyokuwa yakitokea kule Wembley.....
Jovetic na Livermore ahahahaha!Huku taratibu Mama watoto anahesabu tu visoda vya Kilimanjaro baridiiiii