Suprise
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 2,696
- 1,063
Sielewi nini kinaendea.nimekua naye kutwa nzima jana na leo nimedamka kwenda kumuaga ubungo.hategemei rudi karibuni.anaishi mbeya.hatukupasha kiporo lakini cjui nini anawaza nami cjui nini nawaza.au upweke kisa mume kasafiri.ctaki upepo mbaya upite.naomba nikimuaga nirudi in ma sense.usiku wote nilikua naangalia saa asbh ifike nije ubungo. poleni kwa mambo yangu binafsi ila nishaurini nijinasue