My Wife Refuse to Travel by Bus

My Wife Refuse to Travel by Bus

I experience the other side of my wife today. She completely refuse to travel by bus. Her emphasis is FastJet or P.W. Its not her first time on jets or airbus.

I try to make her understand on that, that i want to experience difference by enjoying local stuffs but she say No.

I agree and told her to live me enjoying travelling by bus and let her book for a ticket, yet she say No, we have to book for two.......!! I did not undestand whats wrong with her demand....

Why not ask her?
Do you think we can help you understand your wife? Thando (kama kweli ni ID ya mkeo na si mtu mmoja), do we real have to intervene on this?

I hope kesho nawe hutakuja na lawama kwanini mumeo hajavaa nguo uliyompasia! khah
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana mkeo anaogopa ajali za barabarani, kabla ya kusema chochote ungemuuliza sababu zake
 
Thando come this way uone mambo yako huku
 
Last edited by a moderator:
@DALA, My family is O.K , but I am wondered if I would given that chance ya kwenda na Bus so I may meet different people and chart with local friends along the road......nilitaka kuonesha "standered chartered" za wamama when they decide to do something, you as a father expect "two way traffic answers" of either YES or NO and both are in capital letter. From there is where we agree to disagree that women are weak...If You think that,, you are erring and astraying.

Si vizuri kuingiza mambo ya ukabila humu ila duh, una sound Kama wenzetu wa 'mai waifu mai waifu', mpe talaka basi.
 
Mmmmmmh wahaya puuuuuuuh hadi kichefuchefu loooooh wanaopanda ndege kama daladala wamekusoma halafu hawaja comment umenichefua mno jamani nyie ndio mpaka boxer mwataka mtoe thamani yake
 
Not every things you have to share with us! May be next day u will come with a new topic "My wife refuse to eat some Rice"
 
you personally have to be the final say in the house
get that bitch under control
ASAP:nimekataa
 
Mkuu Kaunga, unasema kweli ila wakati mwingine lazima mke uoneshe ukomavu katika baadhi ya mambo. Kama mwanamke, sina udhaifu kama ambavyo wanaume wengi wanavyotufikiria, hapa hakuna cha kuwezeshwa, kuweza wala nini...sisi tu mwili mmoja. Mimi ni mwanamke ninayejiamini sana na pia napenda kuaminiwa na kuaminika kuwa ninaweza..Kweli usafiri ni usafiri tu ila hapa kuna suala la muda na kipato ambacho mtu anaweza kukitengeneza au kukipoteza ndani ya muda fulani. Mfano mzuri hapa ni Thanda, mume wangu haoni hasara kutumia hata milioni moja ku-spendi na rafiki zake.Ingawa kweli ni mtafutaji mzuri sana na pato letu ni zuri tu. Kwa hili hatupaswi kumtafuta Mungu maneno kwa kumlalamikia.Lakini kwangu mimi nafikiria ni lazima watoto wale vyakula vizuri na vyenye afya, ada ya shule, na balance kwani lolote laweza kutokea. Kama mama wa kiafrika, yote hayo nayafikiria kwa kuyapa kipaumbele. Kuhusu suala la kuingilia hayo yaliyoainishwa na mume wangu, na kwa habari ya kuyaleta humu jamvini kwangu mimi sio tatizo bali naona kuwa ni moja kati ya maendeleo makubwa kwani kuna aina nyingi za ushauri ambao sote kwa pamoja tutaupata na kujifunza kitu zaidi ya vile tunavyojitambua. Ingawa kuna wengine wachache ambao watakuja na mawazo yao hasi. Kwetu sisi sio tatizo hata kidogo, tunapenda changamoto toka kwa watu wengine....na hayo ndiyo maisha.

Why not ask her?
Do you think we can help you understand your wife? Thando (kama kweli ni ID ya mkeo na si mtu mmoja), do we real have to intervene on this?

I hope kesho nawe hutakuja na lawama kwanini mumeo hajavaa nguo uliyompasia! khah
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana mkeo anaogopa ajali za barabarani, kabla ya kusema chochote ungemuuliza sababu zake

Ajali ni ajali tu isipokuwa Bibigula ule muda wa kuwa barabarani na kama kuna alternative way kuwahi kutengeneza hela, hapo sioni shida.
 
Last edited by a moderator:
Thando uzi ni huo huo kwa nini upande ngorika na kuku na mbuzi na hela ipo?wengine tunatamani dhiki tu mamii
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kaunga, unasema kweli ila wakati mwingine lazima mke uoneshe ukomavu katika baadhi ya mambo. Kama mwanamke, sina udhaifu kama ambavyo wanaume wengi wanavyotufikiria, hapa hakuna cha kuwezeshwa, kuweza wala nini...sisi tu mwili mmoja. Mimi ni mwanamke ninayejiamini sana na pia napenda kuaminiwa na kuaminika kuwa ninaweza..Kweli usafiri ni usafiri tu ila hapa kuna suala la muda na kipato ambacho mtu anaweza kukitengeneza au kukipoteza ndani ya muda fulani. Mfano mzuri hapa ni Thanda, mume wangu haoni hasara kutumia hata milioni moja ku-spendi na rafiki zake.Ingawa kweli ni mtafutaji mzuri sana na pato letu ni zuri tu. Kwa hili hatupaswi kumtafuta Mungu maneno kwa kumlalamikia.Lakini kwangu mimi nafikiria ni lazima watoto wale vyakula vizuri na vyenye afya, ada ya shule, na balance kwani lolote laweza kutokea. Kama mama wa kiafrika, yote hayo nayafikiria kwa kuyapa kipaumbele. Kuhusu suala la kuingilia hayo yaliyoainishwa na mume wangu, na kwa habari ya kuyaleta humu jamvini kwangu mimi sio tatizo bali naona kuwa ni moja kati ya maendeleo makubwa kwani kuna aina nyingi za ushauri ambao sote kwa pamoja tutaupata na kujifunza kitu zaidi ya vile tunavyojitambua. Ingawa kuna wengine wachache ambao watakuja na mawazo yao hasi. Kwetu sisi sio tatizo hata kidogo, tunapenda changamoto toka kwa watu wengine....na hayo ndiyo maisha.

Mimi sikuona shida inayohitaji ushauri wa watu wengi hadi kuileta humu; kwakuwa it is okay by both of you sawa. Ila natumaini kesho hatakuja na malalamiko kuwa umemnyima cha alfajiri!
 
Thando uzi ni huo huo kwa nini upande ngorika na kuku na mbuzi na hela ipo?wengine tunatamani dhiki tu mamii

Ni kweli Mkuu Smile, haswa inapokuwa ni suala la kuongeza kipato. Na hata kama si hivyo basi, sio wakati wote mtu utajisikia kusafiri kwa kutumia aina fulani ya usafiri, utajisikia kubadilisha kwa sababu fulani fulani. Mimi ni mzoefu wa safari za kila aina ila kweli mood ya kupanda basi haikuwepo kabisa kwa siku hiyo. Safari ilikuwa inatuhusu sote, na nilisema haachwi mtu nyuma na ndivyo ilivyokuwa. Kila Abiria anapaswa kuchunga mzigo wake kwa asilimia mia.

Hakuna aliyeumbiwa dhiki Smile ila ni mpangilio tu wa maisha. Hakuna wa kulaumiwa kwa hali yeyote ile kwanini yuko alivyo. Tunamwamini Mungu na tunasoma maandiko mara zote. Kuna waliofanywa matowashi, Kuna waliojifanya matowashi, na kuna waliozaliwa wakiwa tayari ni matowashi.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sikuona shida inayohitaji ushauri wa watu wengi hadi kuileta humu; kwakuwa it is okay by both of you sawa. Ila natumaini kesho hatakuja na malalamiko kuwa umemnyima cha alfajiri!

Asante sana kwa kunishauri vizuri, ila siamini kama nina ujasiri wa kumnyima haki yake ya msingi. Mapenzi hayana formula wala timetable. Siamini kama anaweza kuja na topic kama hiyo kwani najiamini sana hapo naye anajua vizuri kuwa mom yuko vizuri.
 
Back
Top Bottom