My Wife Refuse to Travel by Bus

My Wife Refuse to Travel by Bus

Ok tumejua mara zote unasafiri kwa ndege. Una lingine?

Watu mnajua kusoma katikati ya mistari! Mi sikuwaza hilo, nikahisi anaomba tu ushauri ili afanye maamuzi
 
sidhani km hili jambo lilikuwa na ulazima wa kulileta hapa jukwaani ,km mmeshindwa kuelewana kuhusu aina ya usafiri si muache kusafiri au mtembee kwa miguu basi aaaaaaaah!
nyuzi zingine zinaboa sana!
 
sidhani km hili jambo lilikuwa na ulazima wa kulileta hapa jukwaani ,km mmeshindwa kuelewana kuhusu aina ya usafiri si muache kusafiri au mtembee kwa miguu basi aaaaaaaah!
nyuzi zingine zinaboa sana!

Mkuu kuna watu bado wana ulimbukeni sana,hapo kwenye red nimepapenda
 
Thanda inaonyesha ulimuhakikishia uwezo kuwa hakuna tabu katika pesa, sasahuwezi mbadilisha kwa sababu ulishamzoesha kuwa una pesa za kutumia. Hata ingekuwa mm nisingekubali kupanda bus, wakati najua unauwezo wa Airbus.
 
I experience the other side of my wife today. She completely refuse to travel by bus. Her emphasis is FastJet or P.W. Its not her first time on jets or airbus.

I try to make her understand on that, that i want to experience difference by enjoying local stuffs but she say No.

I agree and told her to live me enjoying travelling by bus and let her book for a ticket, yet she say No, we have to book for two.......!! I did not undestand whats wrong with her demand....

...by bus...by fastjet...or whatever means of transport unazojua wewe hazina adventure au hiyo enjoyment unayoitaka wewe. I'm a super manager of 'MAMBA ADVENTUROUS SAFARIS'...Tuna-provide usafiri wa kutumia mamba (mnyama). are you interested?
 
Mbona ni kama ulitaka kutuambia kwamba wewe na mkeo ni matawi sana mpaka kupanda basi mnaona tabu? Kwa upande mwingine, nahisi hujielewi katika familia yako kama unatuletea malalamiko kama haya humu? Ukishindwa kuisimamia familia tafuta njia ya kutoka!
 
I am from Crocodile River, i have never tried that kind of transport anyway......(Nelspruit) I love Mamba, but are they well trained to disharm the travellers? To be keen on this, Mamba Adventurous Safaris is just a trade name reg...

@DALA, My family is O.K , but I am wondered if I would given that chance ya kwenda na Bus so I may meet different people and chart with local friends along the road......nilitaka kuonesha "standered chartered" za wamama when they decide to do something, you as a father expect "two way traffic answers" of either YES or NO and both are in capital letter. From there is where we agree to disagree that women are weak...If You think that,, you are erring and astraying.

Great Thinker, Mamdenyi [galia siku ngazi iliyokupandisha ikianguka sijui itakuwaje.[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
@Lisa, you are Great Thinker

naonyesha ulimuhakikishia uwezo kuwa hakuna tabu katika pesa, sasahuwezi mbadilisha kwa sababu ulishamzoesha kuwa una pesa za kutumia. Hata ingekuwa mm nisingekubali kupanda bus, wakati najua unauwezo wa Airbus.[/QUOTE]
 
I am from Crocodile River, i have never tried that kind of transport anyway......(Nelspruit) I love Mamba, but are they well trained to disharm the travellers? To be keen on this, Mamba Adventurous Safaris is just a trade name reg...

that kind of transport as i have said ,is adventurous means of transport. it's is traditional. ever you head about Ukara island? that kind of transport originated there. the mambas we have are well trained not to harm travellers. we, Mamba Adventurous Safaris have 32yrs of experience in operating such kind of transportation. our main HQ office is in Mwanza! we are still operating locally but soon by July of this year we expect to broaden our services by openning branches in East Africa countries. mr. Thanda you are welcome!
 
NGOJA mfulie ndo mtajua mabasi..SHENGENA BUS SERVICES, NYAHUNGE etc....
 
that kind of transport as i have said ,is adventurous means of transport. it's is traditional. ever you head about Ukara island? that kind of transport originated there. the mambas we have are well trained not to harm travellers. we, Mamba Adventurous Safaris have 32yrs of experience in operating such kind of transportation. our main HQ office is in Mwanza! we are still operating locally but soon by July of this year we expect to broaden our services by openning branches in East Africa countries. mr. Thanda you are welcome! /QUOTE]

@Kamanda Kazi,you have made my day...I swear If I would have more days in my vacation I would pay a visit to Mwanza. I will come next year and I promise, PM to get my contacts abroad and If God wishes, I will do my reservations a.s.a.p

Thande
Pole Mkuu. Mimi issue yangu actually is not her preferring flying over driving, but rather the fact that anakunyima wewe to have your bus experience ! She surely sounds selfish! Anyhow wewe si ndiye mume? Sasa kinakushinda nini to put your foot down au your missus ni wale wa mshahara wa 3+ milllion!!!???
 
Back
Top Bottom