My Wife Refuse to Travel by Bus

My Wife Refuse to Travel by Bus

QUOTE=Thanda;5417500]I experience the other side of my wife today. She completely refuse to travel by bus. Her emphasis is FastJet or P.W. Its not her first time on jets or airbus.

I try to make her understand on that, that i want to experience difference by enjoying local stuffs but she say No.

I agree and told her to live me enjoying travelling by bus and let her book for a ticket, yet she say No, we have to book for two.......!! I did not undestand whats wrong with her demand....

[/QUOTE]
So?!
 
We share the same problem. My hubby refuses to eat pancakes, he wants chappatis (hivi ni relevant?)

Endelea kumfuga hadi siku akatae mtandao wa siku zote.
 
JF kweli kimbilio.....hadi hili kweli kweli kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mkuu unataka tukusaidie loooh! okay wote mkwee pipa
 
American English .Kiingereza cha Azania Tambaza Jangwani Mkwawa tofauti.Huyo yupo USA na ninahisi yupo North of USA sio south.

America kuna fast jet?

Angekuwa america asingeleta hoja humu maana kwa usa usafiri wa ndege ni wa kawaida sana kwa public na sizani kama huyo mke angeuongelea..
 
There is a deeper divide between the two of you.

This is just the tip of the iceberg, have you noticed?
 
America kuna fast jet?

Angekuwa america asingeleta hoja humu maana kwa usa usafiri wa ndege ni wa kawaida sana kwa public na sizani kama huyo mke angeuongelea..

hivi best huyu mke wa ruzafod unamuelewaga???leo kaja na swaga za accent
 
Siri yako japo kule nimekuponda kiduchu, aisee mtu asiejua 'r' na 'l' huwa hayuko sexy hata kidogo. Na bora anaekosea kuandika, anaekosea na kuongea ananiudhi! Na asie jua pa kuweka 'h' na 'a'.
No wonder mkija USA mna heavy accent hakuna a,e,i,o,u..Heavy accent is a big turn off
 
Siri yako japo kule nimekuponda kiduchu, aisee mtu asiejua 'r' na 'l' huwa hayuko sexy hata kidogo. Na bora anaekosea kuandika, anaekosea na kuongea ananiudhi! Na asie jua pa kuweka 'h' na 'a'.[/QUOTE|

Yaani triple like dear!! Mi anayekosea kuandika na hata kuongea they both TURN ME OFF!! Mood inapaa kabisa!
 
Kinga'st una utani na wahaya maana Hilo ni tatizo Lao kubwa
 
Back
Top Bottom