My wife is not my relative

Saharavoice

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
3,882
2,374
Mke wangu siyo ndugu yangu, na angekuwa ndugu yangu nisingemuoa, na sasa utaoaje ndugu yako; na ingekuwa hivyo ingekuwa ngumu hata kuchiti, hivi kweli umchiti ndugu yako? kinyume chake nihivyo hivyo pia.

Ndiyo maana huku watu wanachiti sana hadi usiku wa manane, halafu wengi wao wamejimilikisha. wangekuwa ndugu zao wasingewachiti hadi usiku wa manane.
Week end njema
 
Back
Top Bottom