My wife, eti wanasema umeniweka kwa chupa...

...heheheheeeeee.....fwifwifwifwi........! yashakuwa hayo tena? bora mwenzio nina story ya kudaivosi........!
 
Safi sana kama ni kweli, kaza kabisa huo mfuniko alimradi tu pesa zote naleta home na tunakula kama familia. Nakupongeza sana maana pengine usingefanya hivyo vijisent vyote vingeishia kwa akina nanilii. Achana nao wanao kusema sema, mm siwasikilizi ng'ooo!

hela yote ilikuwa inaishia kwa akina eliza mumewangu,imebidi nikuweke kny chupa....naona sasa tutajenga! :teeth::teeth::teeth:
 
...heheheheeeeee.....fwifwifwifwi........! yashakuwa hayo tena? bora mwenzio nina story ya kudaivosi........!

Heee kijana ndo lugha mambo gani ya kudaivosi! Mm nishakubali kabisaa niwekwe kingi ndani na 18. So long tunajienjoy...mbona hizo za kuvunjika vunjika hujaziweka bayana? Btw am back.
 
hela yote ilikuwa inaishia kwa akina eliza mumewangu,imebidi nikuweke kny chupa....naona sasa tutajenga! :teeth::teeth::teeth:

Ni kweli mamsapu wangu, nadhani umeona hata juzi tu tulianza kuulizia viwanja kwa akina next level. Sasa mambo si hayo??? Ka usingeniweka kwa chupa tutaishia humu mabanzini na kodi kila mwezi juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom