My wife, eti wanasema umeniweka kwa chupa...

duuuuhh kwa kweli samahani sana dada Cheusi mi hakuniambia yote hayo.....
haya vizuri kujua haya ntaanza kutoa mita kuanzia leo ...
nikimwona tu viatu mkononi...
sintosimama...

yaani wee acha tu Afro,nimetoka naye mbali sana,ngojea siku ntakuhadithia jinsi nilivyomvumilia kwa shida na dhiki ndio utaelewa kwa nini nina uchungu naye.haya ngoja nikajaribu kulala lkn sijui kama nitapata usingizi!
 
yaani wee acha tu Afro,nimetoka naye mbali sana,ngojea siku ntakuhadithia jinsi nilivyomvumilia kwa shida na dhiki ndio utaelewa kwa nini nina uchungu naye.haya ngoja nikajaribu kulala lkn sijui kama nitapata usingizi!

duuuuuhhh samahani sana mwaya...
yaani haya mwaya ngoja mi nikuache ulale ili kesho unipe stori zote..
kahanga mihogo ni ntalete chachandu .....


nway thanx for the chat sweety dreams..
 
We baki humohumo kwenye chupa lakini badili jina we sio shapu tena,Afrodenzi vipi ile signature nzuri imeenda wapi ? hii pia nzuri lakini ile ni zaidi au umeshapata ...
Aisee Uporoto unafanya nini na maza hausi wangu???
 
Safi sana kama ni kweli, kaza kabisa huo mfuniko alimradi tu pesa zote naleta home na tunakula kama familia. Nakupongeza sana maana pengine usingefanya hivyo vijisent vyote vingeishia kwa akina nanilii. Achana nao wanao kusema sema, mm siwasikilizi ng'ooo!

movie za ki nigeria bana wizi mtupu
 
hakuna cha chupa wala nini ni wasiwasi wako tu bro keep on praying to God. Hizo ni imani potofu, kwanza ww elimu ngani uliyonayo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom