My upcoming trip to Jordan

Rafiki mimi sio kijana. Hebu jaribu siku moja uniandalie ticket ya ndege nione kama nitaona uvivu au lah
 
Ukitaka historia za dini na uone live nenda Lebanon Yesu alipiga misele sana kile kipande,utaona alipogeuza maji kuwa ulabu ,utaona makazi ya Samson na Delaila, utaona njia aliyopita akielekea Jerusalem
 
Yule fala haaminiki.
Pale pamejaa Rushwa siku hizi wapo wanaopata siku hiyo hiyo kwa hongo unalipia Passport 2 kupata 1 unaambiwa subiri. Wanatengeneza rufaa feki kuwa wahitaji uharaka kwenda India passport unaambiwa fata jioni
Duh!!!

I didn't know mkuu
 
Mkuu ukifika japan njoo hadi huku Hokkaido japo kuna baridi balaa
 
Kama huna hela ya kujiongeza ndio itabidi ufuate hayo ma process yote yasiyo na maana ila ukiwa na hamadi kibindoni unapata passport yako within no time.
 
Hahahahahahahahhahaha!

Mimi nlidhani all this time unataka ukiwa mkubwa uwe kama cute b !!!!

Dunia inakwenda kasi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cute b si bado mdogo sasa

By the way nilishawahi kuandika humu kuwa hata mama yangu mzazi anajua kuvaa kuliko mimi yaani yeye na dada yangu wa kwanza pamoja na mdogo wangu anayenifuata wananishinda kwenye kuvaa

Yaani mimi najiona kabisa nitakavyofanikiwa mapema maana sipendi anasa sijui kuvaa, situmii makeup, sivai mawigi wala siweki kucha za bandia (maana hivi ndiyo vitu vinavyomaliza hela zetu wanawake kwa asilimia kubwa)

Yaani hata ndugu zangu wameshalijua hilo kwamba mimi napenda sana kusafiri kuliko kufanya hivyo vitu, nikiwa Mbeya nikienda kutembea milimani huko huwa nawapigia simu kuwaambia leo nimeenda kutembea sehemu fulani na fulani.

Nakumbuka kuna kipindi ajali zilifululiza kule Mbeya milimani huko, sasa kuna siku ilitokea ajali kubwa iliyowashitua watu, nakumbuka siku hiyo mama alinipigia simu kuniuliza kama mzima nikamuambia ndiyo akasema anhaa nimesikia kuna ajali imetokea, nikakupigia kujua kama ni mzima maana hauchelewi kuwa umeenda kuzurura milimani huko ikakukuta nikamuambia sikuenda.

Ninayeona kidogo ana hobby ya kusafiri ni dada yangu wa kwanza japo yeye anapenda sana safari za ndege na basi kidogo, mimi sichagui yaani ndege, basi, meli na treni vyote twende tu tena kama safari za Dar Mbeya nishapanda sana treni za tazara zile yaani vile tunavyokaa siku mbili njiani mie ndiyo napenda na hamna stress sababu mule ndani kuna kila kitu siyo ndege lisaa limoja tu tumefika khaa.
 
Mkuu, nadhani sikukosea niliposema kuwa nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe yaani nikija kuwa na hela nahisi zitaishia kwenye kula na kusafiri tu na hata kwangu mimi nguo na viatu siyo kipaumbele ili mradi sitembei uchi wala peku.
Mkuu ukue kiasi gani tena ? Maana all this time mimi nilikuwa nadhani wewe ni mama fulani hivi wa makamo mwenye familia ya watoto kadhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…