My upcoming trip to Jordan


Waswahili tunadharauliana. Wageni wanaonekana wana hela. He mentioned Marina Bay sands with the boat pool on top of building. Gardens by the bay ndio hii ya Marina?
 
Waswahili tunadharauliana. Wageni wanaonekana wana hela. He mentioned Marina Bay sands with the boat pool on top of building. Gardens by the bay ndio hii ya Marina?
Kabisa! Waswahili matatizo sana siee...

Marina bay sands, yeah exactly. With the boat pool on top of building sasa pale pale ndio ipo garden by the bay.
 
Daah mimi Spain natamani kuenda Madrid, Valencia, Barcelona na Ibiza tuTissaphernes,
 
Hahaha wazee wa 'sea sickness' mimi sinaga hiyo kitu hata ndege wanasemaga eti ikiwa inaanza kupaa lazima utapike sasa mimi tangu nimeanza kupanda hadi wa leo sijawahi tapika hata kwa bahati mbaya nadhani hao wanaotapika inakuwa siyo hobby yao tu kusafiri
 
Kwa hiyo hiyo 5M tu?
Minimum ndio hiyo imejumlisha Ndege kutoka Dar hadi Dubai na kutoka Singapole hadi Dar.
Mizunguko maana kila mnapofika kila mtu anaelekea kivyake. Kuna tour guides ukipenda.
Visas
Na matumizi yako mengine.
Safari toka Singapole.
Safari zote zinaweza fikia dollar 1800
 
Si unajua mipango sio matumizi [emoji3][emoji3][emoji3]
Ngoja tuzichange change
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…